keizerjohn
Senior Member
- May 12, 2013
- 113
- 14
Kiswahili hiki?
Tena sanifu
Kiswahili hiki?
sasa hiyo dhahabu watamuuzia nani ikiwa wazungu wote wamewasusa?
kama kwako kiswahili sio lugha ya kwanza ni heri utafute kamusi ya kiswahili sanifu,itakusaidia
Wasiwe na waziri wa madini Profesa
Mkuu wewe ni zao la Mulugo?
Mgodi una ukubwa 10,000 Km2 na utaanza kuzalisha karibuni.
Una ukubwa sawa na nchi ya Swaziland.
Uko kwenye bonde la Umkondo.
Zimbabwe inaongoza kwa uzalishaji almasi duniani toka 2008.
Kampuni za utafutaji zilishirikiana Shirika la Maendeleo ya Madini la Serikali ya Zimbabwe.
Kwangu: Ardhi kubwa ingekuwa bado chini ya wazungu, utajiri huu ungeishia kwao.
Asante Mugabe kwa kuona mbali na kuleta sera mpya ya umilikaji ardhi na rasilimali.
Sourec: Daily Nation ya Kenya
Hongera zao
Kunafununu Mugabe hatupo naye tena. Alicollapse few wks back ila haijatangazwa kuhofia machafuko!.
Walipitisha sheria mwaka 2010 ambayo ilitaka kwenye uwekezaji wowote lazima wazimbabwe wawe na share halafu ilikuwa ina act retrospective.. kuna mkenya alikuwa na hotel yake alikuwa akilalamika sana