PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 731
Sheria imepitishwa inchini Zimbabwe kuanzia sasa, mwenza wako, yaani mpenzi wako, mke wako, mume wako akikufikisha mahakamani kwa kuvizia simu yake bila ridhaa yake na ukaperuzi bila ridha yake, utahukumiwa kwa kuingilia faragha ya mtu bila ridhaa yake.
Ije bongo hii wadau mwasemaje, tupunguze kuviziana.
Ije bongo hii wadau mwasemaje, tupunguze kuviziana.