Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

Mzalendo Halisi..mpaka lini tutaacha kuwalaumu wazungu kwa ujinga wetu? we should get life people!!!! Leo bongo matumizi ya kawaida ya ikulu na ofisi nyingine..ni makubwa kuliko health services na mengineyo...kesho watu wakifa (as they always do anyway)..unajua tunapoint vidole wapi? to the policies of IMF and WB!! Indeed Africans are DUMB!!! Mugabe is just a failed human being and he should accept so. Yaani na hardship ya wazimbabwe bado watu wanamtetea BOB? lets have solidarity with Zimbabweans and not Mugabe.. I earnestly believe..Mugabe has honourably and willingly presided over the death of his own country-as it is for many African leaders.... HE SHOULD GO AND BE TRIED IN THE HAGUE! If need be.

As for reemerging of Zim as a giant...History has testified that, with zeal, selfless dedication, and visionary and responsible dictatorship, another world is possible-unfortunately not in Africa and I dont think Zimbabwe will be the exception of the failed policies and vision of African leaders!
 
mikuki,
makosa yanayofanyika ni kugeuza suala hilo kuwa "about Mugabe." That is when things get personal na wananchi wanaumia.
 
Joka Kuu, its extremely hard and next to impossible kuangalia swala la Zim bila kuchambua personalities.....maana ndo wanapreside hizi sera na mengineyo. Ni kweli, ni vema kumtofautisha Mgabe na Zim but how? by the way..yuko kwenye mkakati wa kugombea tena....(after all chama kimesema...tutafika kweli?)
 
mikuki,
mwacheni agombee, kama hali ni mbaya kiasi hicho, na wananchi wanaimani kwamba yeye ndiye anayesababisha inflation, lazima atashindwa.
 
Hahahaha..Joka Kuu, you must be joking by uttering this statement! I honestly believe you dont mean it!
 
mikuki,
yes, i meant what I said. Dunia nzima inaamini kwamba Mugabe ndiyo amesababisha hiyo inflation.

Mimi nafikiri ni vizuri waitishe uchaguzi sasa hivi wakati inflation imepamba moto ili Mugabe ashindwe.
 

Mikuki,
Nikuulize? Wewe unadhani Mugabe ana nia mbaya kuwatesa wananchi wake? Sii walipigania uhuru kwa pamoja? Na ndo baba wa Taifa kama sikosei!
Anapenda na kufurahi kuwaona na njaa? anapenda inflation iwe juu? Ili yeye kama raisi afaidi nini?
Mugabe aliingilia maslahi ya watu wa magh. end of 1990s over question of land- kwa hiyo wakawa hawamtaki.
Akapigana nao na sasa bado anapigana nao! Ndo wakamwekea vikwazo! Why was Mugabe voted as best African Leader in mid 1990s? So what went wrong?
Mkuki you can not discuss the crisis in Zimbabwe without relating it to Western Interest in Zimbabwe.
Mbona madiktator wengi Africa? Ila Wazungu hawana interest- kwa nini wasimwondoe rais wa Afrika ya Kati?
Ila ukiwa maskini na ukupambana na West- watakubana tu!
Ndo maana SADC wantumia quite diplomacy!
Mugabe hawachukii wananchi wake!! Hebu angalia NewAfrican Issues- in 2005 na 2006(ngoja nitakupatia mwiezi baadae)
Umri ni sawa- awaachie vijana hilo naafikiana na wewe
!
 
Waungwana..I fully agree culpability by western countries in the current messy in Zim. But hey wait a minute. What Mgabe did was a populace move to win election in 2000. Ni kweli alitaka kurudisha ardhi kwa wazawa, but how and when, was the deadliest mistake he made. wengi walishaliongelea humu na wala hatuna haja ya kurudia.

Kama tunaelewa kwamba survival ya mwafrika na akina developing countries bado inategemea kwa kiasi kikubwa ujanja wetu wa kujifunza kula na kipofu bila kumshika mkono, basi Mgabe hakuwa na budi kulielewa hili. Na historia katika Africa inaonyesha kwamba viongozi wengi wametumia ujanja huu..kujilimbikizia madaraka kwa kutumia unyonge na umaskni wa wananchi. Mgabe anaweza kuwa anawapenda wananchi wake..lakini siamini hili...ni huyu huyu mgabe ambaye ametumia chakula cha msaada na cha taifa kuwaumiza wale wote wanaompinga..kama wewe si ZANU-PF damdam..basi mgao hupati, ni huyu huyu Mgabe ambaye amechukua mashamba akawagawia marafiki zake ambao wameamua kuyatelekeza kwa sababu hawana ujuzi na uwezo wa kuyatumia, ni huyu huyu Mugabe ambaye ameweka draconian laws kuwanyamazisha wapinzani wake, kwa kuwa-brand agents of western countries. Ilmradi wanampinga. Ninachokishuhudia Zim, ni uroho na uzandiki wa Mugabe na associates wake. Haiingii akilini kwamba nimtetee Mgabe kwa sababu ni mweusi anapigana na weupe. NO!!! Kama kweli angekuwa na nia ya kurudisha ardhi..si tungeona hata yule aliyepewa ardhi ni nani? au waliopigania uhuru ni majaji, mawaziri na makitibu wakuu na wale wenye uwezo tuu?

AFRICA HATUKUJALIWA KITU KINACHOITWA UWAZI na UKWELI (ingawa Mkapa alijaribu alishindwa)!!!! So quite diplomacy is just a hoax! Mugabe has outlived his usefulness he should go. Though sio gurantee kwamba things will normalize soon, but atleast kuna mtu ataelewa kwamba ZIM is not a private company rather its a country of all Zimbabweans. Anayesema kwamba Mugabe agombee tena wananchi waamue...He might be to the point..After all hata Nyerere alikuwa anagombea uraisi kwa kushindana na UKUTA na wananchi tulikuwa tunaamua!!!
 
Ndo maana inaniwia vigumu kuwaelewa hawa wanaojifanya Pan Africanist akina Ankomaah..wanapiga kelele wakiwa London kwenye viyoyozi, watoto wao wakila shule za uhakika.. na wala si kwao Ghana...wanasahau kwamba Uingereza wanayoitukana ime-gurantee hata huo uhuru wa kuitukana serikali. Mbona kama kweli wanaona Africa tunaonewa..kwa nini asiandike mawazo yake akiwa Ghana kwao au Zimbabwe kwa rafiki yake Bob?.....kila mtu ana mtizamo tofauti..ila waafrica tumezidi kwa double standards..na Iam sure unless we come back to our senses..tutaendelea hivi hivi kupiga kelele na kutoa tuhuma tuuuu. Tunataka sovereignity, ipi hiyo?.. I can sadly say....Uhuru wa Mwafrika bado. So far uhuru uliopatikana ni wa viongozi kula nchi, ila wa mwananchi wa kawaida bado na itakuwa ni miujiza kuwategemea hawa viongozi akina Mugabe watuletee huo uhuru sisi wananchi wa kawaida.
 
MKUKI,
UKWELI in whose perspective? Ukweli kwa watu kama Mugabe utabaki kwamba he was a Pan Africanist aliyepigana. Vitabu vya historia by Pan African Scholars will exalt him. Ila Vitabu vya Wauzngu wa magharibi vitasema ni dictator! Upi ni ukweli halisi?
Nakuambia basi Mugabe akigombea tena leo (mimi simpendi kwa ajili ya umri)- free and fair- atashinda!
Ukisema he used land issue to win 2000 elections- well mbona the same Mugabe alishinda kwa kishindo 1990 na 1995? That was a political tactic- sema why 2000 and not earlier? May he miscalculated.
Recall Nkrumah was deposed 1966 for the same reasons- Western interests!
Mimi naona ni vigumu to reduce all the problems in Zim to failure ya Mugabe!
History will tell!
 


wala sikumwaga manyanga ila nilikuwambia kuwa I was more than ready to have a debate with you on this issue lakini mwenzangu ukaamua kunimwagia ma news articles bila ya kuja na counter argument zaidi ya articles

Hapo ndipo nikaona bora nikuachie uendelee
 
DrWHO
Acha kuwa na porojo motomoto mara ya mwisho kwa kumbukumbu zangu nimeangalia just a few kama hivi:
………………………………………………………………………………………………


more propaganda

Nikakuuliza

Where is the freedom of speech?
Ukaandika


depends on whose persocetive and definition of freedom of speech

Nikauliza
What language is this: persocetive
Ukaingia mitini ukaja na hadithi chungu nzima za abunuwasi ukajibu


bado mnajibizana na articles za magazeti? Etc.

Swala la ardhi hakuna anayebisha naona umelikumbatia kama vile ni sala. Wazungu wengi walirudisha ardhi na kuondoka Zimbabwe kwenda Zambia, Australia, New Zealand na hata wengine wamerudi Tanzania etc. Kama unakumbuka baada ya 1967 wengi walikimbilia South Afrika na Rhodesia, Mugabe alikuwa anawakamua na walipoondoka na kumwachia ardhi akaanza kuwakamua raia wake kwa vitisho ambavyo vinaendelea na muda wake umekwisha hivyo inabidi aachie wengine waongoze.

Mwafrika yoyote aliye ulaya na marekani lazima atamtetea Mugabe kwa sababu ya ubaguzi ambao wazungu wanaufanya kwa waafrika lakini ni lazima uwe mkweli na uwe na upeo wa kuona mbali (ndugu zetu Zimbabwe ambapo damu ya WTZ ilimwagika wanashida na huyu mdudu).

Robert ameshindwa kazi na tunahesabu siku tu ataondoka baada ya kuharibu uchumi wa nchi yake, vile vile ameshindwa kuweka umoja ambao ulianzishwa na father of that nation (Nkomo) kabla ya kufariki around 1990’s ingawa wengi watabisha hili lakini ukienda Zimbabwe wenyewe wanakubali kwamba Nkomo ndio real father of that nation.

Mugabe alikuwa ni opportunist ambaye aliwaburuza wananchi on a borrowed time na muda wake umefika atakuwa salama kama atakimbilia kwa rafiki yake Mahadhir kule Malasyia sivyo atakuwa another Sadam Hussein. Mambo ambayo unaona ni propaganda ndiyo ukweli on the ground, iko siku utaona ukweli kwa sababu ukweli siku zote hushamiri.

Vile vile lazima ukumbuke kwamba hata wakati wa Ian Smith pamoja na vikwazo vya uchumi waliweza kuishi na nchi haikuporomoka. Ian Smith alikuwa hauwi wazungu wenzake lakini huyu babu anauwa waafrika wenzake na sisi tunakenua meno tu kama vile hatuoni.
 

Kwa hapa Dua umeua kabisa. Ati Western wana interests zao pale, zipi hizo?
 
Tabasamu,
Western interests to Zim are historical- it was a British colony- and if you happened to visit Zim in 1990s you would agree Zim was economic hub of South African Region after SA. Western interests in terms of many aspects including population, agriculture, infrastructure, investment, sports (rugby) ... you name it.
I am not trying to be a reductionist- to attribute all problems of Zim today to West. Mugabe and other Zimbabweans have a share to contribute.
In a nutshell the western interests --if you ask me--- herald more weight than other internal dynamics which occurred in Zim. And caused by Mugabe and his associates per see!
Remember in Africa, there are so many other dictators- but they have been 'a darling to the West' that is why they are there! If you will recall Mobutu and Siyyed Bare used to be close friends of US- until when after cold war, when they were seen useless- and later on deposed!
We can not blame West for everything- on the situation in Zim- I will stand with Mugabe- may be because of his age he has to look for a successor!
Mzalendohalisi!
 
Police close Zimbabwe university


SOMA HAPA

VIONGOZI WENGI WAAFRIKA WALISOMA BURE KWA KULIPIWA NA WALIPA KODI LAKINI WAO WANAONA NI KUFURU KWA KIZAZI KIPYA KUPATA HIYO ELIMU.
 

Hizo interest zako ni legelege mno. Yaani Western waing'ang'anie Zimbabwe kwa sababu ya timu ya rugby? Are you serious au hata unataka tuamini kuwa miundo mbinu yao ina maslahi kwa West?
Kama ni maslahi nchi nyingi zilizokuwa makoloni enzi hizo zilikuwa na maslahi, Kenya kulikuwa na ardhi nzuri mbona waliondoka na hayo ya Zimbabwe hayapo? Nigeria si ina mafuta mbona pia waliicha. Angola kwa almasi na mafuta haishiki west hawakuona interests zao ila kwa Zimbabwe tu.
 
Niliishi Zimbabwe mwaka 1989 na 1990 nikiwa pale Mount Pleasant. Harare lilikuwa jiji kweli kweli lenye barabara pana sana na safi kweli kweli. Wakati huo dola ya kimarekani ilikuwa inabadilishwa kwa dola mbili za kizimbabwe. Watu walikuwa hawana haja na dola za kimarekani. Siku ya kwanza nilipanda taxi kutoka George Hotel kwenda Russel Hotel bila kuwa na dola za kizimbabwe nikidhani kuwa dereva atapokea dola za kimarekani nikmwachia tip kubwa kwenye exchange rate, jamaa alikataa ikabidi nikazibadilishe hotelini kumpatia zimdollars zake.

Mwaka jana nimepita tena hapo Harare utadhani ni Baghadad, yale mabarabara mapamna yamekuwa mashimo tu na dola moja ya kimarekani ilikuwa inabadilishwa karibu laki mbili!! Nilibadilisha dola hamsini tu nikawa na mzigo mkubwa sana wa pesa, yaani millionea wa ajabu kweli kweli. Yale maduka makubwa makubwa ya departmental stores hayapo tena na yaliyobaki yako tupu kabisa. Biashara nyingi zilikuwa zinapendelea dola za kimarekani kuliko zile za kizimbabwe.

Hakuna aliyeharibu nchi hiyo iliyokuwa na msingi mzuri wa uchumi wa madini kama si Mugabe, unless unataka kuniambia kuwa waafrika ndivyo tulivyo hatuwezi kuendesha mambo yetu. Jawabu la kutatua matatizo ya Zimbabwe ni kuindoa ZANU-PF madarakani, siyo kumwondoa Mugabe tu kwa vile misingi mibovu ya utawala imesambaa katika mfumo zmima wa ZANU-PF.
 
The lure of plentiful South Africa


When one of our chosen leaders makes almost half of the population refugees, and the entire country go hungry he should just do the wise thing.
 
The lure of plentiful South Africa
[/size]

When one of our chosen leaders makes almost half of the population refugees, and the entire country go hungry he should just do the wise thing.

Dua,
Naskia ana wana mpango wa kubadili kipindi uraisi miaka 5 kama wabunge- nae aachie ngazi by mwakani!
Ila Zimbabwe will rise once again to be a giant in Southern Africa!
Na sisi Waafrika tumekaa- tunatazama tu- hatujawasaidia wenzetu Zim vya kutosha. AFRICA WE UNITE OR ELSE WE PERISH!
IF WE HAD A SOUTHERN AFRICAN FEDERATION WITH SINGLE CURRENCY- ZIMBABWE WOULD NOT BE SUFFERING THIS MUCH- THE SAME WORDS SPOKEN BY NYERERE AND NKRUMAH 40 YEARS AGO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…