Zimbabwe Nako Maandalizi ya Kumuondoa Mugabe yaanza

Zimbabwe Nako Maandalizi ya Kumuondoa Mugabe yaanza

geophysics

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
904
Reaction score
167
Habari zisizo rasmi zimekalili shirika lisilo Habari la Swaziland kuwa kuna maandalizi ya maandamano yanayoandaliwa kupinga utawala wa Robert Mugabe kama ilivyofanyika Tunisia na kwa sasa yanayoendelea Egypt. Nimeongea na professor mmoja(jina ninalo) chuo kikuu cha Boston ambaye amekili kuwepo kwa nguvu ya wananchi (people's power to revolution) katika kudai demokrasia. TUSUBIRI KIDOGO TUONE KITAKACHOENDELEA SIKU ZA KARIBUNI
 
kwa wazimbabwe bado ingawa walipata uhuru kwa mapambano na kumwaga damu lakini naona ni waoga rejea mapambano ya miaka ya nyuma wakati Tsavangirai akipambana na serikali ya mugabe
 
Ona mambo yalivyoanza Khartoum Sudan. Hii ni dalili kuwa waafrika wamechoka na kuongozwa na utawala ambao hauwafikishi kwenye maisha bora. Tanzania haiko mbali, watawala wetu wanapaswa kuyaona haya na wabadirike vinginevyo tunayosikia na kuyaona kwa wengine tunaweza kuyaona kwetu TZ.

Sudanese police clash with students in Khartoum

Sun Jan 30, 2011 9:11am GMT


Print | Single Page
[-] Text [+]


KHARTOUM (Reuters) - Police beat and arrested students in central Khartoum, witnesses said on Sunday, as demonstrations broke out throughout the city demanding the government resign.
"Dozens of police have begun to beat the students with batons in Jackson Square," one demonstrator called Mohamed Salah told Reuters. "Some have been arrested."
A Reuters witness said armed riot police fired teargas and surrounded students in at least two universities in the capital.
Hundreds of heavily armed police began to patrol all Khartoum's main streets on Sunday morning as young people started gathering. Government newspapers carried front pages ordering people not to go out onto the streets.
Groups have emerged on social networking sites and Sudanese websites, calling themselves "Youth for Change" and "The Spark", since the uprisings in nearby Tunisia and close ally Egypt this month. One Facebook group had attracted almost 15,000 members by Sunday morning.
Messages on Facebook suggested the organisers were hoping to echo neighbouring Egypt's uprising and overthrow the Khartoum government, which they blame for high prices and accuse of curbing freedoms.



© Thomson Reuters 2011 All rights reserved
 
kaupepo ka mabadili kalikoanzia Tanzania kumbe kanafika mbali!
 
Back
Top Bottom