Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,030
- 1,384
Inawezekana sana aisee maana hapo utawakuta watu na elimu zao lakini wanakuwa kama mazuzuKiongozi hizi ndizo dalili za mwisho wa dunia
Dah...Yaani kufanya biashara ya matango ndiyo iwe dalili ya mwisho waDunia????Kiongozi hizi ndizo dalili za mwisho wa dunia
Ni Kweli dunia imefikia mwisho na utapeli mkubwa ni kupitia makanisa ya kiroho.Mbona nnaona waumini wa kike tu na matango! Kasheshe!
Haya makanisa na hawa wachungaji ni majnga, ashaakum si matusi, nilitumiwa picha ya mchungaji mmoja amewafuramisha waumini wake anawalamba makalio.
Ni Kweli dunia imefikia mwisho na utapeli mkubwa ni kupitia makanisa ya kiroho.
Akuna cha dunia imefika mwisho bana labda uko afrika kwetu ndo kufike mwisho ayo mambo yako uko tu mbona mabara mengine ayo mazingaumbwe ya dini ayapo!! Mm nitaendelea kuamini tu kuna mungu wa africa na mungu wa ulaya Asia na marekani
Maana kwa akili ya kawaida tu awezi kua mungu mmoja atufanye waafrica ivyo na wazungu ivi
Hawa Ni Wagonjwa pia?Tupunguze kushangaa majirani zetu, kabla ya kutafakari matendo yetu.
View attachment 441354View attachment 441355kama serikali ya jamuhuri ilithubuthu kufanya hivi loliondo, nini matango Zimbabwe?
uwe na tango anzia sasa .kibamia kikutoke sasa kwa jina la gwajimaSasa mchungaji huyo mmoja na misukule yake ndo utukane binadamu wote?
Refer yule jamaa alietukana halafu bado nyomi ipo church kwake!!!Anawauzia au anawagawia hayo matango? Maana habari hapo chini mchungaji anadai anataka awaonyeshe waumini yeye ni mkulima mwenyebidii.
Watu wa dini wanashangaza sana. Kuanzia wachungaji hadi waumini.
Inaonekana watu wanapenda Mambo rahisi pia vichwani watu wako empty kabisa aiseee. Yani watu wamefungwa akili zao hawaoni hawasikii, wao wanafuata mkumbo tu.
Inasikitisha wanawake ndiyo wahanga wakuu. Angalia picha mamia ya akina mama na akina dada wameinua matango juu wanaimani kubwa watapokea miracles.
Akiiona hii picha sasa hivi anajisikiaje sijuiTupunguze kushangaa majirani zetu, kabla ya kutafakari matendo yetu.
View attachment 441354View attachment 441355kama serikali ya jamuhuri ilithubuthu kufanya hivi loliondo, nini matango Zimbabwe?