Zimbabwe: Mahakama yawaengua Wagombea 12 wa Upinzani katika Mbio za Ubunge

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,101
1,823
Mahakama Kuu imewaondoa Wagombea 12 wa Ubunge kutoka Chama kikuu cha upinzani nchini humo (CCC) kushiriki katika uchaguzi Mkuu wa mwezi Agosti kwa kigezo cha kuwa maombi yao yaliwasilishwa baada ya muda wa kupokea maombi

Uamuzi huu unamaanisha kuwa Wagombea wa Chama tawala cha Zanu-PF watapita bila kupingwa katika Majimbo Matatu Mjini Bulawayo, ambao hapo awali ulikuwa ngome ya Upinzani

Wananchi wa Zimbabwe watapiga kura tarehe 23 Agosti 2023 kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais

.........

Zimbabwe high court disqualifies 12 opposition candidates

A high court has disqualified 12 members of Zimbabwe’s main opposition party from contesting August parliamentary elections.

The judge ruled that the Citizens Coalition for Change (CCC) membership applications were submitted after the cut-off time of 16:00 on 21 June - the day when nomination courts sat to receive applications.

It means that the ruling Zanu-PF party candidates will be elected unopposed in three seats in the country's second-largest city, Bulawayo, previously an opposition stronghold.

An obscure opposition party, the Elected Early Democrats (EED) challenged the 12 candidates nominations, arguing that the electoral body had illegally accepted their papers.

A chaotic registration process on 21 June saw scores of mainly opposition candidates' applications rejected because of payment system challenges.

United Zimbabwe Alliance's Elisabeth Valerio successfully challenged the rejection of her papers, and will be the only woman on the presidential ballot.

CCC spokesperson Fadzayi Mahere says the 12 will challenge the high court ruling.

Zimbabweans will vote on 23 August to elect councillors, members of parliament, and a president.
Article share tools

Source: BBC
 
ZANU-PF ni chama rafiki na CCM naona wameamua kutumia mbinu zilizotumika Majimbo ya Mtama na Ruangwa
 
Kunanukia street battles pale, wazimbabwe sio mazuzu wenye uoga, watch the space
 
Back
Top Bottom