Zimbabwe kununua Korosho za Tanzania

Zimbabwe kununua Korosho za Tanzania

View attachment 1114168
Baada ya Zimbabwe kuonyesha nia ya kununua mahindi na mazao mengine kiasi cha 800,000 kutoka Tanzania, taifa hilo la Kusini mwa Afrika linafikiria pia kuanza kununua mazao mengine kama korosho.

Ujumbe kutoka Serikali ya Zimbabwe utawasili nchini kuanzia siku ya Jumanne ya Tarehe 3 Juni na unatajiwa kuwa nchini mpaka tarehe 7 ya Mwezi Juni.

“Ujumbe huo unakuja kwa ajili ya kuangalia na kujiridhisha kuhusu mambo ya msingi kama ubora wa chakula na mambo mengine ya awali,” Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameyasima hayo jana wakati wa kikao cha dharura na wakurugenzi wa taasisi na idara mbalimbali za Wizara ya Kilimo.

“Zimbabwe imefikiria pia kuanza kununua mazao mengine kama korosho kwa kuwa imeona fursa ya kupata mazao yenye ubora na kwa bei nzuri ipo Tanzania. Baadae mazao mengine ya mbegu za mafuta, jamii ya mikunde, mboga na matunda yataanza kununuliwa na taifa hilo,” aliongeza Waziri Hasunga.

Kikao hicho kilikuwa na lengo la kuanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kuiuzia nchi ya Zimbabwe mahindi na mazao mengine kiasi cha Tani 800,000.
Mzigo wa korosho hautui begani hadi mwenye mali afike, pumbavu😅
 
Aisee umenikumbusha kitu flan ambacho wakati ule nilijiuliza sana maswali sikupata majibu. Hili nalo litapita lakini...

..mimi nilijiuliza Ethiopia atatumia vipi bandari ya Dsm, ukizingatia umbali, jiografia, na ukweli kwamba amewekeza ktk SGR kuelekea bandari ya Djibouti?

..na majuzi kwenye mkutano kati ya Raisi wa China na viongozi wa Afrika, Waziri Mkuu wa Ethiopia, tofauti na viongozi wenzake waliokuwa wakiomba mikopo, aliomba kuongezewa muda wa kulipa mikopo mikubwa ambayo walitumia kujenga reli na miundombinu mingine.

..katika mazingira hayo haikuwa busara kiongozi wetu kutuaminisha kuwa Ethiopia watatumia bandari ya Dsm kupitisha shehena yao ya mizigo.
 
We ni mjinga kwelikweli hivi wakinunua wazungu huzipeleka wapi

Hata maskini hununua bidhaa za azam
Zimbabwe wanunue korosho wazipeleke wapi?kweli tunamawaziri wapuuzi kweli ambao hawajui hata wafanye nini.
Yaani muda wote wanakaa ofsini kujadili ZIM watanunua korosho kweli hii serikali iko mbioni kuanguka tena bila kusukumwa.
 
Msimu mpya wa korosho unakuja za mwakajana bado wasirudie tena kujifanya mbavu sahizi wanatanga na njia
 
HIVI MNAJUA HATA MNACHOKIANDIKA? HIYO ZIMBABWE MNAYOIZUNGUMZIA HAINA HATA CURRENCY(FEDHA YAKE YENYEWE), WANATUMIA USD NA BOND, MAFUTA DIESEL NA PETROLI LITA MOJA NI DOLA 5, YAANI EFU KUMI YA TANZANIA KWA LITA. HAWANA UCHUMI WA KUNUNUA KOROSHO WALA MAHINDI.
acheni propaganda.
 
..hayo siyo madai yangu.

..ni madai ya Raisi Magufuli kuwa Ethiopia wamemuahidi kuanza kutumia bandari ya Dsm.

..alitoa kauli hiyo wakati wa ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia.

Cc imhotep
Catarist ikishaongea jiografia lazima itupishe kwanza
Laa sivyo jiografia inaweza kutekwa na kutiwa adabu.
Kwanza hata Saadam alikuwa raisi wa Kuweit
 
Naona ubongo wako kuna sehemu unavuja bila kama oil
View attachment 1114168
Baada ya Zimbabwe kuonyesha nia ya kununua mahindi na mazao mengine kiasi cha 800,000 kutoka Tanzania, taifa hilo la Kusini mwa Afrika linafikiria pia kuanza kununua mazao mengine kama korosho.

Ujumbe kutoka Serikali ya Zimbabwe utawasili nchini kuanzia siku ya Jumanne ya Tarehe 3 Juni na unatajiwa kuwa nchini mpaka tarehe 7 ya Mwezi Juni.

“Ujumbe huo unakuja kwa ajili ya kuangalia na kujiridhisha kuhusu mambo ya msingi kama ubora wa chakula na mambo mengine ya awali,” Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameyasima hayo jana wakati wa kikao cha dharura na wakurugenzi wa taasisi na idara mbalimbali za Wizara ya Kilimo.

“Zimbabwe imefikiria pia kuanza kununua mazao mengine kama korosho kwa kuwa imeona fursa ya kupata mazao yenye ubora na kwa bei nzuri ipo Tanzania. Baadae mazao mengine ya mbegu za mafuta, jamii ya mikunde, mboga na matunda yataanza kununuliwa na taifa hilo,” aliongeza Waziri Hasunga.

Kikao hicho kilikuwa na lengo la kuanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kuiuzia nchi ya Zimbabwe mahindi na mazao mengine kiasi cha Tani 800,000.
 
Maccm wote hamna akili mnatutia aibu sana watanzania basi tu. Kenya wameaza kucheza komedi jinsi watanzania tunavyoangaishwa na English.
 
We ni mjinga kwelikweli hivi wakinunua wazungu huzipeleka wapi

Hata maskini hununua bidhaa za azam
Hata uwezo wa chakula Zimbabwe Shida,niambie we mpumbavu umekula lini korosho ingawa zipo hapo mtwara,Acha kuongea kitu ambacho hukijui Mimi Zimbabwe naenda kila wiki najua maisha ya wale watu hali mbaya,MTU hawezi kununua korosho wakati hana chakula.
 
View attachment 1114168
Baada ya Zimbabwe kuonyesha nia ya kununua mahindi na mazao mengine kiasi cha 800,000 kutoka Tanzania, taifa hilo la Kusini mwa Afrika linafikiria pia kuanza kununua mazao mengine kama korosho.

Ujumbe kutoka Serikali ya Zimbabwe utawasili nchini kuanzia siku ya Jumanne ya Tarehe 3 Juni na unatajiwa kuwa nchini mpaka tarehe 7 ya Mwezi Juni.

“Ujumbe huo unakuja kwa ajili ya kuangalia na kujiridhisha kuhusu mambo ya msingi kama ubora wa chakula na mambo mengine ya awali,” Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga ameyasima hayo jana wakati wa kikao cha dharura na wakurugenzi wa taasisi na idara mbalimbali za Wizara ya Kilimo.

“Zimbabwe imefikiria pia kuanza kununua mazao mengine kama korosho kwa kuwa imeona fursa ya kupata mazao yenye ubora na kwa bei nzuri ipo Tanzania. Baadae mazao mengine ya mbegu za mafuta, jamii ya mikunde, mboga na matunda yataanza kununuliwa na taifa hilo,” aliongeza Waziri Hasunga.

Kikao hicho kilikuwa na lengo la kuanza kutekeleza agizo la Rais Magufuli la kuiuzia nchi ya Zimbabwe mahindi na mazao mengine kiasi cha Tani 800,000.

Acheni masihara aisee!

Sanaa zingine sometimes muwe na aibu!

Zimbambwe na import Korosho wapi na wapi?

Yaani mnafanya tuone hii regime ni group of jokers!
 
Back
Top Bottom