Zimamoto Updates

THOMAS EMMANUEL ... wewe ungea ukweli mbona jina lako hatulioni kwenye orodha ya watu 309 walioitwa kufanya usaili kiongozi...hebu nipe maelezo kidogo hapo mkuu.

mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.
 
Mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.

good!!!!
 
jamani kulikua na usaili kuanzia trh 25/03 hadi 29/03 ukonga,anayesema 309 atakua sio mfuatiliaji wa mambo!! jumla kwa matoleo ya awamu 2 tulikua 515
 
mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.
 
kati ya majina 206 waliopata kazi ni majina 31 hongereni sana

mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.
 
Ume over look mkuu...wapo 33...hii ndo TZ...tz nakupenda sana na udumu muungano.

mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.
 
Janjawidi...umenifanya nichezeshe akili yangu zaidi na zaidi...kuna ukweli happ aisee.

Ila hii ndo Tanzania kijana wangu funika tulilinde,tulijenge na tulitetee Taifa letu.

Tanzania nakupenda.

mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.
 
Last edited by a moderator:

still the water to catch a fish. basi mkuu KISHINDO anataka kutukoroga tu aone tunafikilia nini au naye muzzuxx
 
mkuu revocatus budeba alifanya usail oral siku ya jumamos fanya uchunguz wako vizuri,,siyo wote wanabebwa wengine wana uwezo na bahati pia,,wakati ukifika kila kitu kitaenda sawa
 
Last edited by a moderator:

na isitoshe someni majina vyema ya waajiriwa mchukue na walioitwa interview..mtagundua kuna walioitwa kazini bila interview..tz at 50 ..sambaza upendo
 
nadhani tusubiri juma3 ya tarhe 12 tuone na uhamiaji watatuletea habari gani, ila wikiend tucheze kwa uangalifu sana
 
jamani kulikua na usaili kuanzia trh 25/03 hadi 29/03 ukonga,anayesema 309 atakua sio mfuatiliaji wa mambo!! jumla kwa matoleo ya awamu 2 tulikua 515

ukichukua wale watu 515 waliokwenda kwa intavyuu ukigawanya na wale 103 walioitwa kazini unapata 5 ambayo ina maanisha kila nafasi moja ilikuwa inagombewa na watu watano (5)
 
Hivi hao ni assistant surgents? Askari wa kawaida bado?
 
bila shaka KISHINDO wewe ni mtoto wa kigogo wa wizara. Ebu tupe full information,
 
mkuu itakuwa hukuwa na taarifa, majina kwa ajili ya interview yalitoka mara mbili. kati ya hayo majina kuna ndugu yangu amepata kazi na hakuwa akimfahamu mtu yoyote ila yeye jina lake lilitoka awamu ya pili.

Hujanielewa wewe. Hata hivyo ni wachache sana huwa wananielewa, so sikushangai na wewe. Kwa taarifa yako ni kwamba Hayo majina kabla hujayajua na kuyasikia yametoka mi nilikuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…