Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, walitoa majina na fani zao walizosoma. Lakini zimamoto hawajafanya hivyo, kwa nini? jeshi la polisi mwaka jana mwezi wa kumi na mbili walitoa majina na fani zao walizosoma, na kwenye tangazo lao la ajira walitoa fani mbalimbali au wamechukua watu wa fani zinazofanana, ndio maana hawajaweka fani? Jamani ebu watupe ufafanuzi, maana jamii inakuwa na wasiwasi kuwa kuna kubeba.
Wale mliokuwa mkisubiri kwa hamu, Zimamoto tayari leo hii. Majina yako ktk gazeti la Uhuru la leo May 5,2014. Litafuteni. Thanks sana kwa kunivumilia niwa_update. Jana niliwaambia this time tommorow, walionielewa walinielewa.