Zimamoto Updates

Zimamoto Updates

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,202
Reaction score
1,957
Wale mliokuwa mkisubiri kwa hamu, Zimamoto tayari leo hii. Majina yako ktk gazeti la Uhuru la leo May 5,2014. Litafuteni.

Thanks sana kwa kunivumilia niwa_update. Jana niliwaambia this time tommorow, walionielewa walinielewa.
 
Tafadhali ingia kwenye web yao. Nawapa hongera umliopata wote.
 
hongereni sana Zimamoto na Uokoaji - TANGAZO_01.jpg
 
Thank u God kwa kunipa hii nafasi, ngoja nikapige kwata tu. Ingawa moyon cpendi
 
Mambo hayoo,ss kaz kwenu,ss huu ndo mda kupigika katk kwata mshindwe ninyi tu,nawatankia kila heri huko muendako
 
Thank u God kwa kunipa hii nafasi, ngoja nikapige kwata tu. Ingawa moyon cpendi

Laiti kama ungefunuliwa utamu wa huko usingesema moyoni hupendi. Naamini ukimaliza mafunzo ndo utagundua. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom