Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 440
- 664
Nimepangiwa interview ya Zimamoto Temeke, hivi wapo sehemu gani hawa jamaa?
Sehem gani kiongozi me nafanyia kazi vetenari kule kwenye viwandaVetenari
Panaitwa MchichaSehem gani kiongozi me nafanyia kazi vetenari kule kwenye viwanda
Hapo apande daladala za temeke zinazopita mandela road , afu amwambie konda amuache vetenari ( mchicha )Vetenari
Aisee!Nimepapata na nimetolewa wanataka urefu futi 5.7 me nina 5.6
Dah pole mkuu, kiduchu sana umepishana na fursaNimepapata na nimetolewa wanataka urefu futi 5.7 me nina 5.6
Na hata angefika iyo 5.7 angetokewa tuuuhDah pole mkuu, kiduchu sana umepishana na fursa
Eeh! Aisee 🙌Nimepapata na nimetolewa wanataka urefu futi 5.7 me nina 5.6
Nimepapata na nimetolewa wanataka urefu futi 5.7 me nina 5.6