Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,032
Mkuu yaani ilikuwa tamu unajua tena na redio kijijini zilikuwa za watu wachachesikuwahi kuisikiliza RTD
uzi huu ni wa kihenga zaidi..!!
wengine zama hizo bado tulikuwa ktk migongo ya baba zetu
sio kwenye mgongo, kwenye gololi hasa
Ulikuwa hajazaliwa!sikuwahi kuisikiliza RTD
Pole mkuu basiuzi huu ni wa kihenga zaidi..!!
wengine zama hizo bado tulikuwa ktk migongo ya baba zetu
Neno hiyo kama sikosei ilikuwa 2000+ hivihivi ileee......... MANEEENOO HAYOOO.., USIKU KUCHA. ilikuwa ni RTD au TBC? Manake tangu nikuwe mbali na bimkubwa sijawahi sikiza TBC kiukweliiiii.
Salam kwa wagonjwa na Khalid ponelaKipindi cha misakato na julius nyaisanga,kipindi cha salam kwa wagonjwa
Hehehesio kwenye mgongo, kwenye gololi hasa
Kipindi hicho wanaita rushwa ni adui wa hakiNakumbuka tangazo la Rushes
"Rushwa ni mdudu hatari sana......"
Nilikua bado chalii sana Kipindi hicho nikawa sielewi rushwa ndo nini nikawa nadhani labda kuna mdudu kabisa anaitwa Rushwa
Wewe eti gololikwenye gololi bado hatujafika hapo, mana hyo gololi ni stage ya pili tokea ktk mgongo ndio shinani