• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

B

beco

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Messages
1,343
Points
2,000
B

beco

JF-Expert Member
Joined May 7, 2013
1,343 2,000
Nimeguswa na hisia za Mzee Pembe,Vijana Jazz ikiwa iko moto kweli kweli,ndo hivyo zimebaki stori!
Ila sikumpata vizuri,mbona miaka ya 1996/97,Vijana Jazz walitoa Album iliyo hit(Tafrija la Kuuaga Umaskini-Umaskini bye bye) ambapo ilifanya vizuri tu. Naona anguko la Dansi lilianza miaka ya 1999 kuja hadi 2000. Baada ya hapo ilikuja Dansi mpya ya Twanga Pepeta miaka hiyo ya 1999-2006!Twanga,Muungano,TOT,Tam Tam na FM Academia,Beta Musica,Extra Bongo na Dar Musica. Hata hivyo nazo zinaelekea kufutika.
Dar musica ya nani ilkuwa
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
882
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
882 500
Sawa bana sisi huko mikoani zetu kuwaonea gele tu. mara utasikia
club raha leo show! ooooooooo!
asubuhi njema, mchana mwema, mara ombi lako, yaaani shambani juma hili, full michosho! hatukuzijua bendi hizo.japo tulipenda nyimbo hizo
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
882
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
882 500
Sawa bana sisi huko mikoani zetu kuwaonea gele tu. mara utasikia
club raha leo show! ooooooooo!
asubuhi njema, mchana mwema, mara ombi lako, yaaani shambani juma hili, full michosho! hatukuzijua bendi hizo.japo tulipenda nyimbo hizo
 
M

milanzistieve

New Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
2
Points
20
M

milanzistieve

New Member
Joined Nov 7, 2018
2 20
Habari zenu wapendwa mm ni mpenzi sn wa muziki wa dansi kuanzia mwaka 2000 na kuendelea nilikua naomba nyimbo zifuatazo , chuchu sound leila, ukweli, kusema sema rmx, na nyingine ni za mchinga sound inaitwa kidomo domo, nyingine ni juma kakere inaitwa ndoa ya lazima iko katika album yake ya betty, nyingine ni neema rmx hii nyimbo ilitungwa na mchawi wa solo tanzania adolph mbinga akiimba na ramadhani masanja.R.I.P, joniko flower maua, na nyimbo ya sikinde inaitwa adha ya chumba kimoja hz nyimbo nakumbuka zilikua zinapigwa na kituo cha radio one naombeni sn mwenye nazo anisaidie tafadhali
 
chief muswati

chief muswati

Member
Joined
Apr 27, 2019
Messages
37
Points
95
chief muswati

chief muswati

Member
Joined Apr 27, 2019
37 95
mwenye nyimbo ya mafumo bilal-mungu aliumba neno mapendo naiyomba nimeitafuta bila mafanikio
 
M

MMOJA

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2012
Messages
402
Points
250
M

MMOJA

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2012
402 250
Mweye wimbo wa kwa "Kwa Mjomba hakuna urithi" wa Msondo ngoma anisaidie jamani
 
Ze Heby

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2012
Messages
4,475
Points
2,000
Ze Heby

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined May 20, 2012
4,475 2,000
Napenda sana nyimbo za the Mushrooms. Zinanikumbusha sana marehemu babu yangu mjoli.
 
MIDFIELD

MIDFIELD

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Messages
1,942
Points
1,250
MIDFIELD

MIDFIELD

JF-Expert Member
Joined May 27, 2013
1,942 1,250
Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu....

Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki wake leo hii unatamani ungerudisha wakati nyuma.......

Kwa kuanzia tuanze na hawa Orchestra Vijana Jazz,bendi ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Umoja wa vijana wa CCM,bendi hii ilikuwa ikitumia mitindo ya Sindimba,Hekaheka,Heka koka,Watoto wa nyumbani,Air Pambamoto(awamu ya kwanza na ya pili) na baadae mtindo wa Saga Rhumba.....

Kwangu mimi bendi hii ndiyo ilikuwa chaguo langu hasa......Ukitaka kuujua ukali wa bendi hii sikiliza nyimbo kama Chiku,Mary Maria,Penzi lamea penye penzi,Shemeji,Bujumbura,Ilikuwa lifti,Tambiko la Pambamoto,Adza(Aza),Ngapulila,Ogopa Tapeli,Mwisho wa Mwezi,Penzi haligawanyiki,Wivu,Malaine,Nyongise,Shoga,Theresa,V.I.P,Mama Chichi na nyingine nyingi tu tamu....

Bendi hii imewahi kuundwa na wanamuziki kama Hemed Maneti 'Chiriku',Hamza Kalala 'Komando',Manitu Mussa,Issa Chikupele,Hassan Dalali,Hassan Shaw,Ally Jamwaka,Abuu Semhando,Bakari 'Baker' Semhando,Mhina Panduka 'Toto Tundu',Adam Bakari 'Sauti ya zege',Eddy Sheggy,Shaban Yohana 'Wanted',Rashid Pembe 'Profesa',Kida Waziri,Beno Villa Anthony,Rahma Shally,Jerry Nashon 'Dudumizi',Suleiman Mbwembwe,Shaban Dogodogo,Aggrey Ndumbalo,John Kitime,Abdallah Mgonahazelu,Freddy Benjamin,Mohammed Gotagota,Said Hamis 'Misukosuko',Athumani Momba na wengine kibao...

Habari zaidi, soma=>Mashairi ya Kiswahili ya Nyimbo zote za Maquis du Zaire
Mkuu umenikuna sana katika uzi wako huu. Binafsi kuna wanamuziki wawili ambao huwa naona nyimbo zao na uimbaji wao ulikuwa wa kutukuka. Hawa si wengine bali ni Hemed Maneti (Chiriku) wa Vijana Jazz na Marijani Rajabu (Jabali la Muziki). Bahati mbaya hawa wote wakuwahi kuwaona live wala picha zao. Naomba angalau mwenye picha zao au hata video zao japo niwajue kwa sura maana wote ni marehemu. Wanamuziki hawa ni mfano wa vipaji vikubwa kuapata kutokea Tanzania ambavyo kusema kweli naona kama mapengo yao hayajazibika
 
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2018
Messages
3,401
Points
2,000
Nas Jr

Nas Jr

JF-Expert Member
Joined May 15, 2018
3,401 2,000
Wakuu kwema?
Ebana kuna wimbo wa Sikinde kiitikio chake wanasema “kwa kauli yangu ya ukiwa siwalaumu enyi wakwe”
Mwenye kuujua jina lake au mwenye nao please yamenikuta mkongwe mwenzenu nauomba tafadhali
DDC Mlimani park - Kiu ya JiBu
 
Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Messages
1,725
Points
1,500
Mtumpole

Mtumpole

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2010
1,725 1,500
Mwenye wimbo wa Sakina umeimbwa na Juwata Jazz Band naomba anisaidie.
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
5,830
Points
2,000
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
5,830 2,000
Huu uzi nitautembelea kwa kirefu niokote huko madini mawili matatu
 

Forum statistics

Threads 1,404,961
Members 531,857
Posts 34,473,007
Top