ZILIPENDWA: Wanamuziki, nyimbo na mitindo yao

Kuna wimbo Wa enzi hizo unaitwa CHAWA NA PANYA ni zilipendwa hasa,sijui waloimba wanaitwaje

Time will Tell!
 
Didier by Gaby Kababa Nkomba & Dekula Band (official music video)



Published on 22 May 2020
Song: Didier Artist: Gaby Kababa Nkomba Official Music Video 2020 Director/Camera/Online Editor: Roberto Noel Produced by Sounday Production AB Special thanks to Jiman Kestay, Cascas V Inno and Lalo Cissokho
Source : Dekula2
 
Maestro Kahanga Dekula a.k.a 'Vumbi' guitar in the song Makumbele



Maestro Kahanga Dekula (Vumbi) played lead guitar in the song Makumbele. This is song that made him to be famous in East Africa. The song Makumbele by Orchestra Maquis Original was recorded at Radio Tanzania Dar-Es-Salaam (TBC) in Tanzania 1987. Cameraman: Moses Gichia
Source: Dekula2
 
Kuna nyimbo zilikuwa maarufu sana miama hiyo siwakumbuki waimbaji ila kuna maneno yanasema
"Cheka lakini kaburi lakungoja...ukimuona mtu anayeumwa ukimwi amekondaaa amebaki mifupa mitupu..."

Kuna sehemu anaimba anaigiza kuwa bint kuwa kavaa viatu vya mchuchumio vinalia koo koo kooo...
 
Ngorongoro Heroes - Kambwembwe
Solo- Shabani Wanted , Rythm - Uruka Uvuruge, Bass - Abdallah Ramadhani, Drum -Kejeli Mfaume Waimbaji Kasaloo Kyanga, Kyanga Songa, Mpoyi kalonji , Skassy Kasambula


Source : Zamani Leo
Huwez kutuwekea wimbo wao mkali unaoitwa NAACHIA NGAZI.
 
Jerry Nashon alikua mtunzi jamani. Nikisikiliza nyimbo zake mbili nakumbuka mbali sana. Nyimbo hizo ni SIKITIKO pamoja na IBRAHIM. Nyimbo hizo nadhani ni kutoka Bendi ya Bimalee. Jamaa aliimba aiseee
 
Benovilla Sir Benwaa : Song : Naomi: Mlimani Park Sikinde


Source: Benovilla Anthony
Muimbaji aliyeanza kuimba kwa sauti ya kwanza kwenye wimbo huu wa Naomi ni nani, ni Tino Masinde? Ana sauti nzuri sana.
 
Skassy Kasambula live on stage with his Safari stars Orchestra-Mitwango ya jiji (Millicento)



Source : Sulutani Kasambula
 
Back
Top Bottom