ZILIPENDWA MNARA WA KATIBA

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,751
2,000
Wapinzani wakiongozwa na Lipumba walizuia Jitihada za Jakaya Kikwete kutuachia Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi

Akina Kingunge wakiwa CCM walimshambulia Jakaya kwanini kaanzisha Mchakato wa Katiba Mpya bila ya ridhaa ya Kamati kuu ya CCM tena wakaenda mbali zaid wakisema tulihitaji marekebisho tu ya Katiba iliyopo si Katiba Mpya lakin sasa ndo wanaona umuhimu wa Katiba Mpya
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,751
2,000
Walizuiaje wakati hata wagonjwa walio kua hospital india walipiga kura?.bila kusahau walio kua hija.
Walitoka Nje ya Bunge kwa kususa na Walipoitwa Ikulu kubembelezwa walau ipigwe kura ya Maoni ili Kazi ya Rais wa Tano iwe ni kusaini tu Katiba Mpya yenye Tume huru ya Uchaguzi wakaona watampa sifa Rais Kikwete wakatae lakin Leo hii wanatamani walau ile ile waliyoikataa ndio iwe Katibu ya Nchi.

Chuma kipya kinasema kiachiwe kinyooshe Nchi hakuna vya Katiba wala Rasimu ya Warioba!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom