Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,176
- 48,460
Wazee wa drama na senema zamani walikuwa wanagawana supu Kila baada ya mechi wakishinda. Siku hizi mbona kimya?
Kuna jamaa humu anajiita Labani og na Mwenzake ngara23 walikuwa wanakwenda na hotpots kabisa!
Injinia wafanyie wepesi watu wako angalau mkiifunga Azam wanywe supu zile ambazo semaji alisema kuwa ni Vibuduz😃😀😆