KUKU-DUME
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 474
- 196
Kwenye kampeni tuliahidiwa milion Hamsini za kila kijiji ambapo lilikuwa kwenye ilani ya chama tawala lakini pia mama Samia Suluhu aliongea kuwa mara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya taifa basi milioni hamsini tayari zitakuwa zinagaiwa.
Tuliagizwa tuunde vikundi na maeneo mengi ya nchi vikundi vimeshaundwa especially kwetu.
Sasa nawauliza Rais na makamu wa Rais pia wana CCM ni lini mtaanza kuzigawa maana mwezi wa tisa tupo na bajeti tangu tarehe 1 Julai imeshaanza kufanya kazi.