King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,446
- 96,633
Wanyonge walipigwa na kitu kizito.
Wale wale wanajibadilisha majina kwa aibuNaona usajili mpya wa team kuzimu.
Umesoma wapi hapo? Wapi nimejipa usemaji wa 'Raia'Acha kujipa usemaji wa raia wa TZ.
Hakikadaktari wa maganda ya korosho na ndizi alikuwa jinga sana PERIOD.
Aisee ndio umenifumbuwa macho, kumbe hili jinga tunalo humu tangu 2007.Wale wale wanajibadilisha majina kwa aibu
Wana maelekezo kutoka kwa kiranja wa malaikaAisee ndio umenifumbuwa macho, kumbe hili jinga tunalo humu tangu 2007.
Ngoja nifuatilie hii ID kabla ya kifo cha shetani wa Chato ilikuwa unatumia jina gani nimuanike hapa.😁😁