Ziko wapi picha zinazowaonyesha Ngeleja na January wakiomba Msamaha?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,427
Kwa kadiri ya kupenda sifa na kujionyesha kwa awamu ya 5 mbele ya vyombo vya habari , na jinsi tulivyoona Nape akimulikwa kuanzia getini hadi sebuleni huku akibubujikwa na jasho kuonyesha kwamba alitembea umbali mrefu , baadhi ya wadau wameanza kujiuliza kwamba ilikuwaje Ngeleja na January wasipigwe picha hata ya Pasport size ?

Kama hawakwenda , Imekuwaje ishindikane hata kuonyeshwa vipande vya barua walizoandika ili kuomba radhi , hasa ikizingatiwa kiki za kufa mtu za awamu ya 5 ?

Machale yananicheza .

 
Hilo nalo nenoooo
 
Hao wengine achana nao Nape ndio alisema jamaa mshamba.

Halafu adhabu kwa Nape ni salamu kwa Kinana.
Unafanya mchezo na mamlaka ya rais Nape alisahau kbs akome na hizo kwel ni salamu safari watadhalilishwa haijakishi waliwahi kuwa waandamizi Nakumbuka manenonya Lisu hakuna aliyesalama
 
Alitoka waziwazi kwenye vyombo vya habari kukana ile sauti si ya kwake. Ili msamaha sasa uonekane una toba ya kweli ndani yake hakukuwa na budi kumpigisha kwata mbele ya kamera.

Hilo linatosha tu kumtesa kisaikolojia japo mwana siasa usimwamini kiviile
 
Ya kwao ilifanyika kwa video
call... Man to
man.. Kufuatia muda kuwa finyu wa kuandaa tukio
 
.....mkaguzi wa misamaha !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…