Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?


Unaakili mbovu sana!! Ni lini tbccm imerusha walau jina la ukawa???
 
Hujalazimishwa kuangalia ITV, angalia hizo zinazowapendelea na kupotosha jamii, tunataka hbr halisi sio za kurembana,
 
Kule kwetu kanda ya ziwa watu kama nyinyi huwa tunawaita "LUMYE". We mtoa uzi huu kaulize mtu wa kanda ya Ziwa nini maana ake.
 
Nafikiri una mahaba na yamekuziba maono sahihi. Ukilinganisha vyombo vyetu vya habari ITV katika uchaguzi huu wametenda kwa haki zaidi kuliko vingine na watu wengi wametokea kuiamini zaidi.
 
ITV ni mpango maalum wa kuonesha uchaguzi ulikuwa wa vurugu
 
Embu tutizame Tshert aliyovaa Mtangazaji huyu ambae alikuwa akireport kupitia ITV tangu asubui ya leo na jana? hii ni haki kweli hii si nguo ya chama fulani?
manake anatupa majibu kuwa moja kwa moja yeye ni chadema.
 

umemjibu vyema sana
 

Halafu mwenyekiti anasimama kuhimiza ethics za uandishi ktk kipindi hiki cha uchaguzi
 

Kwani umelazimishwa kuangalia I TV?
 
Acha ujinga!! Kaanzishe nawewe tv yako! Ubalance hizo habari!! Itv imepimwa kimataifa na kunekna inafaa we nan?? Na una pimana nin! Au mahaba yako yana kusumbua!?
Mbona Tbc hauisem acha unafiki wakti ni tv ya umma!! ? Kama hauna cha kuandika bora ujifunze kusuka!!!
 
Namhurumia sana Mengi, kahangaika na kapi lake sana kulipamba kipindi chote hiki cha kampeni na uchaguzi, alidhani litashinda eti apate kitalu! nggoja magufuli aingie alishughulikie! uchaga tu
 
Mleta uzi hujitambui wewe...kwa taarifa itv ni kituo bora zaid ya vyote tz..ulitaka fujo wasiztangaze? kwan haztokei kweli? matokeo wanatangaza yote azawise cjajua kama kuna itv nyingne kijijin kwako huko..
 
Kwa hili,umewaonea, ITV wamejitahidi sana na wanaendelea kutujuza yanayotokea kila kona ya Tz mda wote, wakati mashirika mengine kama TBC, Star na channel 10 wakituekea bongo fleva, taarab na muvi za kinaija....
 
Punguza mahaba wewe..... ITV wanarusha matangazo 24 hrs... Umefuatilia kwa muda gani!???? Acheni uchonganishi na kuwaaribu watu.... Muda huu wanarusha habari zenu... Vipi ulalame.... Aya kacheki tbc na star basi...
Huyu jamaa alitaka hata matukio ya watu wa Kimara kutopiga kura yasionekane wala kujulikana na watanzania wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…