Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

pole sana ndugu ukiona inakukera achana nayo angalia Chanel nyingine mbona zipo nyingi tu mi mwenyewe nikiangalia star TV na Chanel ten huwa nasikia kichefuchefu kwa hiyo ili kuepukana na hiyo adha nimeamua kuachana nazo
 
Anzisha kituo chako uweke ethics..NKT!!
Ukawa wasitangazwe wakishinda?au hujasikia na CCM?
 
Yan walafi Bn yan mmebebwa n.a. media km tbc n.a. startv ila bdo inawauma kwa Yule anayetenda haki! Itv inatenda haki sana in a mana km ukawa wameshinda sehem nying waogope kutangaza!!?
 
Huu ni ukweli mtupu. Reporting ya akina Sam Mahela inaboa sana. Wajifunze kutoka Azam News -very profesdional (sawa sawa na ccn, BBC n.k

ukifananisha azam tv na bbc au cnn ni kuvishushia heshima vituo hivyo. futa hiyo kitu akilini mwako. jana hamna cha maana wamefanya. sam mahela anatafuta habari kuliko maripota kumi wa azam tv. ana exclusive stories nyingi; ameongea na mkurugenzi NEC, Kova exclusively!
 
Mkuu katika hili napingana na wewe! ITV wamefanya kazi kubwa sana tena maana mimi ushindi wa CCM kwa majimbo kama musoma mjini,Kibaha,kisarawe,newala,ilemela n.k ni meyajulia kupitia wao! Mnyonge nyongeni haki yake mpeni!
Kwakweli wana stahili pongezi..
 



ITV wamefanya kazi iliyotukuka sana. Sidhani kama unaelewa weledi wa Taaluma ya Habari.Nakushauri uwe unatazama TBC na STAR TV kama ndo unaona wanakuridhisha. ITV tuachie watu makini tuangalie !​
 
Hii picha ya Ripota wa ITV uliyoweka unataka kuwaaminisha watu kwamba Tshirt aliyovaa ni ya UKAWA ??? Umenoa. Hiyo ni Tshirt yake binafsi wala siyo uniform ya UKAWA. Iangalie vizuri !!!
 
wewe ulitaka isionyeshe ukweli kwamba fujo, migogoro na watumishi waliosimamia uchaguzi hawajalipwa mishahara yao. haya yote ulitaka wanyamaze halafu wakuonyeshe maeneo yaliyotulia pekee. angalia chanel yenu ya TBC inayojiita televisheni ya taifa sio lazima uangalie ITV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…