mr hussein
Member
- Nov 1, 2016
- 54
- 37
Vipi kuhusu makusanyo ya tra mbona hatuambiwiSio kwa kuachana njia panda huku...ajira hiz zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe...........wazir akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.......
Mwaka sasa umeisha.......KIMYAAAA
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?
Rekodi nw zinavunjwa kimyakimya ahhahahahahhahaVipi kuhusu makusanyo ya tra mbona hatuambiwi
Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!Ajira ni kitendawili
C mlikuwa mnawaforce kusema..ehh ndo wakawadanganya sasaKilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!
Mbona ajira Serikali inatoa kila siku tatizo lako hauna sifa nazo, mfano Serikali imeajiri wakuu wa mikoa kibao, wakuu wa Wilaya kibao, Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini, juzi juzi tena zikapatikana ajira za mabalozi wewe bado haumo tu, loooh wewe inaonekana sifa hauna kabisa tehe tehe tehe ulitaka ajira zipi itabidi ndugu uludi shule inaonekana shule yako bado haiuzi kwenye soko la ajiraSio kwa kuachana njia panda huku...ajira hiz zilimwagwa kwenye gazeti la habari Leo zikaanikwa gazeti la nipashe...........wazir akijinafsibisha kwenye kipindi cha dakika 45(ITV) na kusema muda wowote kuanzia muda hule(huku mtangazaji akikazia muda wowote!??) Akrudia tena muda wowote.......
Mwaka sasa umeisha.......KIMYAAAA
Serikali ituambie ukweli ni nini kinaendelea, mkwamo upo wapi?
Nakuhifadhi ifike Feb maanaChief nkanga aliwambia Feb 2017 hamkumwelewa? Bado mwez 1 jikazen japo walimkanusha! Lakn chief ni mtu anaejua ukweli! Achaneni na hizi siasa za kipuuzi, muda wwt kuanzia sasa bila kuwa na time limit!
Muda wowote yaweza kuwa hata milele, na itaendelea kuitwa muda wowote tu.Chief nkanga aliwambia Feb 2017 hamkumwelewa? Bado mwez 1 jikazen japo walimkanusha! Lakn chief ni mtu anaejua ukweli! Achaneni na hizi siasa za kipuuzi, muda wwt kuanzia sasa bila kuwa na time limit!
Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!Ajira ni kitendawili
Hizo za makada wa chamaMbona ajira Serikali inatoa kila siku tatizo lako hauna sifa nazo, mfano Serikali imeajiri wakuu wa mikoa kibao, wakuu wa Wilaya kibao, Wakurugenzi wa halmashauri zote nchini, juzi juzi tena zikapatikana ajira za mabalozi wewe bado haumo tu, loooh wewe inaonekana sifa hauna kabisa tehe tehe tehe ulitaka ajira zipi itabidi ndugu uludi shule inaonekana shule yako bado haiuzi kwenye soko la ajira
Kama umejibu vileeUkweli ni huuu...!!
Serikari ina tuficha tu!
Ishu ni kwambaa haina fedha za kuwalipa waajiriwa wapya..
Ndio maana imesitisha kuhama vituo , mikopo kw wajiriwa na kuto pandisha madaraja y misharaa kwa wale ambao wapo kweny system ya ajira...
Ni mtazamoo... Tu haija thibitishwaaaa
Alafu kama watumishi hewa washaaa hakiki wana subiri nini kutoa ajiraaa mpyaaa..
Na hatakama bado ile bajet y mwaka jana imefanya kazi wapiii... Au ime ishatumikaaa kununulia n d e g *e!!
Kada wa chama anaingiaje kwenye Payroll ya Serikali? kama ndio hivyo mkuu bora nawe uwe kada wa chama ili upate mkate wa kila mweziHizo
Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!
Hizo za makada wa chama
Unajua wanasiasa wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi na haya yote yanatokana na viongozi kukosa uzalendo na kupeana vyeoHizo
Kilichowafanya waseme nani si wangejikaliaga kimya tu!
Hizo za makada wa chama