Zijuwe tabia sugu za wanachuo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zijuwe tabia sugu za wanachuo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mkwaruzo, Mar 26, 2011.

 1. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  1. Hupenda kwenda bar na kumbi za starehe kuliko lecture na semina.
  2. Hushinda room kuliko library
  3. Hufahamu mitindo ya mavazi kuliko module
  4. Huogopa sup, carry na disco kuliko dhambi
  5. Hufahamu waziri wa mikopo kuliko wahadhiri
  6. Huhudhuria b'day, harusi na starehe za w'end kuliko ibada
  7. Hutoa zawadi kubwa kwa boy & girl frnds kuliko kwa yatima na wajane
  8. Hulinda ATM cards na penzi kuliko vitabu.
  SO, epuka hivi vitu ukiwa chuoni.
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Du mambo yamebadilika sana!
  Enzi zetu
  1 Kula kuku kwa kurudia, hata ukiwa mjini unawahi SHIMO GRILL
  2 Jeans ni lazima, ila haioshwi mpaka mwisho wa mwezi
  3 siku ya kufua jeans inalowekwa siku nzima na ukiisimamisha inasimama yenyewe
  4 kitabu kwa kwenda mbele, mjerumani hakukamati kwa sup au kwa paper yoyote
  5 Hall 3 ilikuwa mwiko, pengine kama huna kazi ya kufanya
  6 Ukiwa veteran ni lazima utamjua Mzee Punch aliko
  7 Lengo la usomi ilikuwa (wakati huo) kwenda ng'ambo kwa ajili ya further studies
  8 Lecturer akikosea somo anafundishwa na wanafunzi mpaka kieleweke!
  9 siku ya "boom" ni balaa, fujo Mlimani Park , Safari Resort etc mpaka hela iishe(fahari wawili hawakai zizi moja)
  10 Siku ya kugraduate ndo unafahamu kumbe dunia iko tofauti

  Those were our glorious days!!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,514
  Trophy Points: 280
  hahaha kumbe ndio maana kila baada ya bm nilikuwa situliagi
   
 4. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  KUIBA MITIHANI.?
  Wengi awasomi wanategemea feki au VUVUZERA kama linavyoitwa sasa vyuoni.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,078
  Trophy Points: 280
  Ukipita pale raha saaana..4real U remind me the golden moments ..vpi kuhusu 'EXILES' vyumbani?
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  mmeshahu hii hapa: Wengi wao ni mabingwa wa kupigana "Exile"
   
 7. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Wanapenda kupiga deshi (kutokula au kujinyima) wanunue vitu kama simu, Tv na radio bila kusahau kuhuzuria kwenye mitumba.

  Wengine hupenda kupigwa exile ili wachungulie
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hihihi
   
 9. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika ni hiyo namba moja nachokumbuka wakati wa kuishiwa ilikuwa lazima uchukue kozi flani inaitwa RB 600 ( Yaani Rice & Beans for Tshs.600) ukikuta RB imeisha kifuatacho ni chai na mkate
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  HAHAHAA :bathbaby:
   
 11. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  kule mabibo hostel kwenye block flani kuna jamaa walikuwa wanaishi na mademu zao kwenye room ya wanaume ilikua tabu sana usiku watu wanakula vitu kitanda cha juu na wewe upo chini unachobenefit ni vibration tu.
   
 12. mfarisayo

  mfarisayo JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 5,030
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Mkuu usinikumbushe Dr. Karamagi a.ka Fisadi wa Maksi
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu kuiba mitihqni enzi hizo na kugundulika , mtu anadharauliwa sana, tena san tu.
  It was easier to work ones way out to get good marks kuliko kuiba mitihani.
  Hii inaelezea the long, wrong way we way deteriorated.;
   
 14. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu I amtalking of the situation way back to the 70's and early 80's.
  Wengi wenu hamuifahamu SHIMO GRILL, lakini ni ile cafeteria iliyokuwa chini ya Havard.Hapo kula ilikuwa nguvu yako, lakini that was where the best chickens were served at no, absolutely NO direct cost at all!
   
 15. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mmenizidi nguvu kwa mnachokiongelea, mm zamani sikuwepo hivyo imenibidi nibaki kuangaliya tu
   
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  naona mmesahau mambo ya kushindia vijogoo!
   
 17. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kama vinaukwel vile mana hyo namba nne kma kwel vile inaonyesha wewe ni mtaaramu wa mambo yote hapo juu uliyo yasema hv yan kama kwel vle ila wanachuo bana we acha 2uu
   
 18. m

  mamakunda JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 371
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenichekesha kweli, kuna siku moja jamaa aliwapiga EXILE wenzie, waliporudi wakakuta mlango umefungwa kwa ndani, wakachukua kiti kwa jiranikuchungulia juu ya mlango, yaani walikutana uso kwa uso na jamaa.
   
 19. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  hiyo red nimeipenda maana kuna chuo kimoja morogoro jamaa alipoishiwa akaforge lisiti za cafteria akawa daily anaagiza chai-kuku wa kukaanga..!!! mchana wali kuku wa kukaanga (kwa kifupi mapochopocho kwa kwenda mbele) mpaka mhudumu akawa amestukia kitu, alipowataarifu watoa lisiti ikabidi wamfuatilie, ndipo walipombaini kuwa alikuwa hapangi mstari wa kulipia bali akitoka room na lisiti yake moja kwa moja kwenye dirisha la mcoc!!!
   
 20. c

  chante Senior Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  lol! 'watu wanakosea wanasema nina viatu pair moja, ninavyo pea nyng sema vyote vnafanana'..Dr karmagi
   
Loading...