Hizi ndizo sifa na tabia za wanafunzi wa vyuo vya tanzania

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Utafiti uliofanywa na watalaam toka nchini umegundua wanafunzi wanafunzi wa vyuo tanzania

1.hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko lecture na semina

2.hushinda room kuliko libray

3.hujua mitindo ya mavazi kuliko module

4.huogopa sap,carry na disco kuliko dhambi

5.humfahamu wakurugenzi wa bodi ya mikopo kuliko wa wahadhili

6.huudhulia birhdays,harusi kuliko ibada

7.hutoa ofa kwa wenzao kuliko sadaka misikini na makanisani

8.hupenda ku discuss mishahara kuliko maswali

9.hupenda kuwabagua wenzao wanaotoka familia za kimasikini kuliko matajili

10.huchukia sana siku za mitihani,test
 
Hili linahitaji utafiti ili kuleta majumuisho hapa,

Ukiangalia vyuo vya mjini tu utakuwa huitendei haki tafiti yako!
 
huo utafiti wako ulifanyia vyuo gani? Udom na Teku nini.
 
Mkuu unapozungumzia vyuo una maana vyuo vipi? Vya ualimu? Vya mieleka kama nilichosoma mimi? Au vipi???
 
vyuo vyote........vinavyotoa ila kama hamtoridhika ntarudi tena....kufanya utafiti
 
Utafiti uliofanywa na watalaam toka nchini umegundua wanafunzi wanafunzi wa vyuo tanzania

1.hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko lecture na semina

2.hushinda room kuliko libray

3.hujua mitindo ya mavazi kuliko module

4.huogopa sap,carry na disco kuliko dhambi

5.humfahamu wakurugenzi wa bodi ya mikopo kuliko wa wahadhili

6.huudhulia birhdays,harusi kuliko ibada

7.hutoa ofa kwa wenzao kuliko sadaka misikini na makanisani

8.hupenda ku discuss mishahara kuliko maswali

9.hupenda kuwabagua wenzao wanaotoka familia za kimasikini kuliko matajili

10.huchukia sana siku za mitihani,test
Ndugu, kiswahili ni lugha yetu,tujivunie!
 
huchukia ma lecturer wanao attend vipind vyote..
Masista duu wanakosa ela ya kula lakin c ya kwenda salun
sherehe za birthday znategemeana na kupata boom haijalsh cku imepta ila boom likiingia wanafunz woote wamezaliwa
hawana ela ya kununua vitin wana ela ya kwnda bar
 
kazi kwelikweli...!halafu sisi wadogo zenu ndo tuko njian kuja huko...sijui itakuwaje daah
 
Back
Top Bottom