Michael makene
Member
- Jan 20, 2021
- 73
- 178
Nimelipia 22/10/2021 mpaka leo sijafungiwa huduma yaani miezi 8 tanesco bado wanatafuta waya na nguzo moja...mbona huduma zenu zinakuwa za kubabaisha nyie watu? mnatengeneza mazingira gani Kama sio usumbufu kwa wananchi....naitwa Michael makene Lusato niko mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya buzuruga mtaa wa nyambiti karibu na msikiti..0757415111 tokea 22/10/2021 mpaka leo mnanizungusha Kama mpira