Zijue tabia za Mtanzania halisi

Zijue tabia za Mtanzania halisi

Katika zote ulizosema mm ninayo moja no 17 kuvuka barabara lazima niangalie kushoto na kulia na hii nilijifunza shuleni katika Road safety
Ila hizo zingine kwa watu wenye uelewa mdogo zina apply na kumbuka asilimia kubwa ya watanzania wana uelewa mdogo
Barabara ya njia moja unaangaliaje Kushoto na kulia
 
Namba 10. Ni wapare ndo Wana tabia hyo.

Tabia nyingine.
1.kujamba ndani ya blanket au shuka halafu mtu anatoa kichwa nje ..
2.chupa ya chai ikivunjik Inakuwa chupa ya chumvi.

3.kupenda kupika wali usiku.
4.ugali ndo chakula cha mchana mara nyingi kwa jamii nyingi haswa wasukuma ila baadhi wanapika hata ndizi au kande.

4.Watakusaidia siku ya msiba hata kupika mavyakula ya gharama ila hata kupewa buku ya kula hawawezi na unaweza kufa kwa njaa.
5.kupigapiga rimoti ilihali wanajua kuwa batteries zimeisha ni za kutupa.
Dah hiyo namba moja yako naipata
 
Namba 17 nitaendelea kuifanya daima kwa usalama wangu.

Iko wired kwenye brain.
 
Kutoka chooni bila kunawa halafu unampea mwenzako mkono hivi tabia uko unaonaje full mibacteria amoeba
 
Kutouch private parts halafu unanusa na men akishika pant ya girlfriend unaismell psychological problem hio asikuambie mtu.
 
Back
Top Bottom