dwight
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 485
- 167
We nawe umeamua tu kukomaza fuvu, wa -Tz sijui tulipatwa na shida gani kufikiri critically. Hajasema yote yana-apply kwa nchi nzima. Lakini pia wewe umesema karibia vyote, ina maana yake kuna vichache vinakugusa. Ndo hivyo sasa, bora uwe maskini kuliko ukose akili nzuri.Mimi ni mtanzania ila karibia vyote ulivyoandika havi apply kwangu.
Inaelekea wewe haujaenda shule na pia ni maskini sana.Pole

