Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,117
- 1,249,276
Kama haujui kiswahili mkuu baki tu hapa hapa huko inbox sina dictionary ndugu. English ngumu
Would you mind if I follow you inbox?
Would you mind if I follow you inbox?
sawaMtoa mada aliimaanisha barabara ya njia moja
Kama haujui kiswahili mkuu baki tu hapa hapa huko inbox sina dictionary ndugu. English ngumu


Kama haujui kiswahili mkuu baki tu hapa hapa huko inbox sina dictionary ndugu. English ngumu
tabia kama hizi kwa kingereza zinaitwa stereotypes. zinatofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine, raia wa nchi moja na nyingine. hata raia wa mataifa ya wazungu, wana stereotype zao.(1) Kukojoa nyuma ya nyumba.
(2) Mke kulala karibu na ukuta
(3) Kuweka mifagio nyuma ya mlango.
(4) Ukitajirika, watu husema una chumba cha kulala cha siri ambacho hakuna mtu anayeingia.
(5) Unapozeeka unashukiwa kuwa ni mchawi.
(6) Unapooga, watakuuliza ikiwa unaenda mahali fulani.
(7) Kuweka baadhi ya vyombo kando mahususi kwa ajili ya wageni.
(8) Kuhesabu vipande vya nyama ili kuhakikisha vinatolewa kwa usawa.
(9) Hakuna kifo cha asili kinachotokea katika Afrika. Adui yako daima ndiye chanzo.
(10) Kuhesabu pesa baada ya kutoa kutoka kwa ATM.
(11) Kuoa mrembo ni sawa na kuolewa na kahaba.
(12) Kutoa viatu wakati wa kutembea kwenye matope na kuingia ndani ya nyumba.
(13) Kuna baadhi ya sehemu maalum za nyama ya kuku ambazo zimetengwa kwa ajili ya mume k.m paja la kuku.
(14) Kununua nguo mpya kunapokuwa na sikukuu
(15) Mtu anapopewa maikrofoni, kwanza hupulizia hewa ndani yake au kuigonga kwa kidole ili kuona ikiwa inafanya kazi licha ya mtumiaji wa awali kuwa ametumia maikrofoni sawa.
(16) Kufagia kiwanja kizima hata wakati sehemu zingine si chafu.
(17)Kuangalia kushoto na kulia wakati wa kuvuka barabara ya njia moja.
(18) Kuweka chupa tupu ya plastiki baada ya kunywa maji kwa matumizi ya baadaye
(19) Kuweka kiti maalum ndani ya nyumba kwa ajili ya mume.
(20).Kujisikia fahari wakati wa kukaa karibu na mzungu ndani ya basi.
Ongezea zingine.....
Na hujawaona wengine wakicheka sana mpaka alale chinitabia kama hizi kwa kingereza zinaitwa stereotypes. zinatofautiana kutoka jamii moja kwenda nyingine, raia wa nchi moja na nyingine. hata raia wa mataifa ya wazungu, wana stereotype zao.
kwa mfano mimi nashangazwa na wanaigeria kupitia ile tabia yao ya kuzungumza kwa punch kubwa na kusonya.
Kupiga mswaki halafu unapiga unakuwa kama vile unatapika unatoa kabisa na sauti naichukia hii tabia mpaka basi.Kurudia kupima nyama kwa Mangi baada ya kutoka buchani ili kuhakiki kama kweli imefika kipimo.
Kununu chakula mfano mchele kilo mbili ila ufungwe tofauti hata kama unaenda kupikwa kwa pamoja eti ukifungwa kilo moja moja utakuwa mwingi.
Kwa waoshaji vyombo ..sufuria zinaoshwa mwishoni.
Katika ufuaji nguo Kama soksi..braa..vest mashati kufuliwa mwanzoni😂
Hii ni muhimu, wagogo wauza nyama Buchani wezi sana. Kuna siku nilienda kupima sehemu nyingine nikakuta robo nzima wameiba, mbona niliwarudia Buchani na wakakubali kuiongeza 😅Kurudia kupima nyama kwa Mangi baada ya kutoka buchani ili kuhakiki kama kweli imefika kipimo.
Kununu chakula mfano mchele kilo mbili ila ufungwe tofauti hata kama unaenda kupikwa kwa pamoja eti ukifungwa kilo moja moja utakuwa mwingi.