2 Kitanda changu kipi katikati na sio ukutani. Nkivusha wote tuko sawa.
3 Mfagio wa ndani na mop vinakaa sehem maalum.
7 sahau ninazo 6 za udongo, vijiko 12, bakuli nne, vikombe 11 kimoja alikivunja mrembo wangu juzi. Milo mitano kwa siku vyombo vinaoshwa jion na usiku kabla ya kulala, Hakuna sahani wala kijiko cha mgeni.
8 Nyama ikiliwa mara kwa mara hakutakua na mtu wa kuhesabu vipande.
Siku nyingine mie kama Sina pesa ya nyama nusu ikifika jion natoa buku mbili naenda na mrembo wangu jion sehem tunanunua mishkaki ya mia mia tunakula na chips kavu tukitoka hapo tuko full.
10.Sijawai kufanya kitu kama hicho labd kama kuna pesa natakiwa nizigawe kwa mtu muda huo nyingine nibakishe ntahesabu size yake basi.
14 Katoto kangu lazima nikanunulie nguo mpya siku ya sijui aiseh sitak mchezo☺️☺️
16 Nafanya usafi ndani kila Kona alaf nje ndo kunafuata.
17 Barabarani si sehem ya kuamini kabisa maan wanaopenya sehem ambazo sio ni boda boda kwa hyo ni lazima kuangalia kote kote kwa usalama zaid.
18 Kupunguza uchafu ni vzuri plastic container na michupa kutumia kuwekea vitu mbali mbali mfano kutunziwa vyakula kweny friji, maji ya kunywa. Na pia dumu kuwekea maziwa ukienda kwa mama Mangi