Zijue tabia za Mtanzania halisi

Zijue tabia za Mtanzania halisi

Namba 14 na 17 zinanihusu,

Sikukuu ifike sina nguo mpyaa sio kweli
Uangalifu barabarani ni lazima kuna boda na baiskel
 
Sinaga hayo mambo hivyo vitu haviapply kwangu endelea na maisha yako hayo ya umaskini. Hii nchi ina watu wajinga sana kama wewe pumbavu zako.
Wewe ndio wale ambao mnasema eti mke akuwekee maji ya kuoga bafuni mi nashangaaga sana kwani mi bafuni kwangu kuna Shaw rose

Nikomaze fuvu Kwa nini wewe endelea na maisha yako hayo.
Wewe nakufananisha na wale wanasema eti mke akuketee maji ya kuoga bafuni.
Siwaelewagi kwani mi bafuni kwangu kuna bathing system haina mambo eti ya kuwekewa maji ya kuoga kwenye ndoo.
Aisee pole sana endelea kupambana unaweza kuja kufanikiwa

Kupelekewa maji bafuni wanaona ndio mke ana tabia nzuri, na unakuta anaweza kuweka shower bafun lakin haweki
Ila pia umaskin unachangia
 
Namba 10. Ni wapare ndo Wana tabia hyo.

Tabia nyingine.
1.kujamba ndani ya blanket au shuka halafu mtu anatoa kichwa nje ..
2.chupa ya chai ikivunjik Inakuwa chupa ya chumvi.

3.kupenda kupika wali usiku.
4.ugali ndo chakula cha mchana mara nyingi kwa jamii nyingi haswa wasukuma ila baadhi wanapika hata ndizi au kande.

4.Watakusaidia siku ya msiba hata kupika mavyakula ya gharama ila hata kupewa buku ya kula hawawezi na unaweza kufa kwa njaa.
5.kupigapiga rimoti ilihali wanajua kuwa batteries zimeisha ni za kutupa.
 
Hiyo ya kujamba ndani ya blanket /shuka kisha kutoa kichwa nje hahahaaaa ni noma
 
(1) Kukojoa nyuma ya nyumba.

(2) Mke kulala karibu na ukuta

(3) Kuweka mifagio nyuma ya mlango.

(4) Ukitajirika, watu husema una chumba cha kulala cha siri ambacho hakuna mtu anayeingia.

(5) Unapozeeka unashukiwa kuwa ni mchawi.

(6) Unapooga, watakuuliza ikiwa unaenda mahali fulani.

(7) Kuweka baadhi ya vyombo kando mahususi kwa ajili ya wageni.

(8) Kuhesabu vipande vya nyama ili kuhakikisha vinatolewa kwa usawa.

(9) Hakuna kifo cha asili kinachotokea katika Afrika. Adui yako daima ndiye chanzo.

(10) Kuhesabu pesa baada ya kutoa kutoka kwa ATM.

(11) Kuoa mrembo ni sawa na kuolewa na kahaba.

(12) Kutoa viatu wakati wa kutembea kwenye matope na kuingia ndani ya nyumba.

(13) Kuna baadhi ya sehemu maalum za nyama ya kuku ambazo zimetengwa kwa ajili ya mume k.m paja la kuku.

(14) Kununua nguo mpya kunapokuwa na sikukuu

(15) Mtu anapopewa maikrofoni, kwanza hupulizia hewa ndani yake au kuigonga kwa kidole ili kuona ikiwa inafanya kazi licha ya mtumiaji wa awali kuwa ametumia maikrofoni sawa.

(16) Kufagia kiwanja kizima hata wakati sehemu zingine si chafu.

(17)Kuangalia kushoto na kulia wakati wa kuvuka barabara ya njia moja.

(18) Kuweka chupa tupu ya plastiki baada ya kunywa maji kwa matumizi ya baadaye

(19) Kuweka kiti maalum ndani ya nyumba kwa ajili ya mume.

(20).Kujisikia fahari wakati wa kukaa karibu na mzungu ndani ya basi.

Ongezea zingine.....
2 Kitanda changu kipi katikati na sio ukutani. Nkivusha wote tuko sawa.

3 Mfagio wa ndani na mop vinakaa sehem maalum.

7 sahau ninazo 6 za udongo, vijiko 12, bakuli nne, vikombe 11 kimoja alikivunja mrembo wangu juzi. Milo mitano kwa siku vyombo vinaoshwa jion na usiku kabla ya kulala, Hakuna sahani wala kijiko cha mgeni.

8 Nyama ikiliwa mara kwa mara hakutakua na mtu wa kuhesabu vipande.
Siku nyingine mie kama Sina pesa ya nyama nusu ikifika jion natoa buku mbili naenda na mrembo wangu jion sehem tunanunua mishkaki ya mia mia tunakula na chips kavu tukitoka hapo tuko full.

10.Sijawai kufanya kitu kama hicho labd kama kuna pesa natakiwa nizigawe kwa mtu muda huo nyingine nibakishe ntahesabu size yake basi.

14 Katoto kangu lazima nikanunulie nguo mpya siku ya sijui aiseh sitak mchezo☺️☺️

16 Nafanya usafi ndani kila Kona alaf nje ndo kunafuata.

17 Barabarani si sehem ya kuamini kabisa maan wanaopenya sehem ambazo sio ni boda boda kwa hyo ni lazima kuangalia kote kote kwa usalama zaid.

18 Kupunguza uchafu ni vzuri plastic container na michupa kutumia kuwekea vitu mbali mbali mfano kutunziwa vyakula kweny friji, maji ya kunywa. Na pia dumu kuwekea maziwa ukienda kwa mama Mangi
 
Hahaha, umeme umekatika mtu anachungulia dirishani, akiona kote umekatika kote anarudishia pazia na kusema "afadhali", yaani nimecheka maana katika hili nimo, hata hiyo afadhali sijui ni ya nini🤣🤣

Hiyo "afadhali" umeitumia kwa maana ya unafurahia kuwa tatizo ni la wote na si lako peke yako.
 
(1) Kukojoa nyuma ya nyumba.

(2) Mke kulala karibu na ukuta

(3) Kuweka mifagio nyuma ya mlango.

(4) Ukitajirika, watu husema una chumba cha kulala cha siri ambacho hakuna mtu anayeingia.

(5) Unapozeeka unashukiwa kuwa ni mchawi.

(6) Unapooga, watakuuliza ikiwa unaenda mahali fulani.

(7) Kuweka baadhi ya vyombo kando mahususi kwa ajili ya wageni.

(8) Kuhesabu vipande vya nyama ili kuhakikisha vinatolewa kwa usawa.

(9) Hakuna kifo cha asili kinachotokea katika Afrika. Adui yako daima ndiye chanzo.

(10) Kuhesabu pesa baada ya kutoa kutoka kwa ATM.

(11) Kuoa mrembo ni sawa na kuolewa na kahaba.

(12) Kutoa viatu wakati wa kutembea kwenye matope na kuingia ndani ya nyumba.

(13) Kuna baadhi ya sehemu maalum za nyama ya kuku ambazo zimetengwa kwa ajili ya mume k.m paja la kuku.

(14) Kununua nguo mpya kunapokuwa na sikukuu

(15) Mtu anapopewa maikrofoni, kwanza hupulizia hewa ndani yake au kuigonga kwa kidole ili kuona ikiwa inafanya kazi licha ya mtumiaji wa awali kuwa ametumia maikrofoni sawa.

(16) Kufagia kiwanja kizima hata wakati sehemu zingine si chafu.

(17)Kuangalia kushoto na kulia wakati wa kuvuka barabara ya njia moja.

(18) Kuweka chupa tupu ya plastiki baada ya kunywa maji kwa matumizi ya baadaye

(19) Kuweka kiti maalum ndani ya nyumba kwa ajili ya mume.

(20).Kujisikia fahari wakati wa kukaa karibu na mzungu ndani ya basi.

Ongezea zingine.....
Namba 8 inashida gani?🤣🤣🤣
 
Mimi ni mtanzania ila karibia vyote ulivyoandika havi apply kwangu.
Inaelekea wewe haujaenda shule na pia ni

Inaonesha jinsi gani kwenu ni maskini wa kutupwa
 
JF inafurahisha sana hata uwe umenuna vipi utacheka tu
 
Back
Top Bottom