Zijue tabia mbali mbali za wana JamiiForums

Zijue tabia mbali mbali za wana JamiiForums

Ni kweli watu humu tunapiga mchele, kimya kimya bila kwere, tuna magari tele na majumba kama mbele...
 
Wengi wao wanajipima kwenye Mada kibishi, lkn ukweli wanaujua kma Muuza simu anavofanya..... waone ni jinsi gani wanavoweza badili mtizamo wa watu kwa ushawishi wa hoja zao! then hayohayo anapeleka akili kijiweni.
 
Ni kweli watu humu tunapiga mchele, kimya kimya bila kwere, tuna magari tele na majumba kama mbele...
Majumba au mapagala hayo mnaishi muda wowote Serikali inabomoa! sikia Nyumbani ni zile zimepimwa, zina chocho kubwa, zinaingilika Kwa barabara kirahisi, Police patrol inapita kwa uwazi, Maji, Simu, Umeme nk, kiwanja kikubwa chakutosha kuwinda wanyama kama sungura. wa kubomolewa wale wa kipawa wanaita eti hilo ni Shamba.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hahahaha mkuu una hasira, taratibu sisi ni wazee wako tuna mapresha ya kutosha. Umetukuta malegend humu ndani. Ikiwa unahatarisha afya zetu tunakubonyeshea kitufe kwa Mods. Tupeleke taratibu mkuu
Wengine hatuna uwezo wakupitia mada zote zilizowahi kupostiwa JamiiForums ili kuona kama hichi nachotaka kuandika hakijawahi kuandikwa na shemeji yako
 
Mkuu mfano mm namiliki real estate pale Kisongo, yaani ile UN compound yote ni yangu na yale magari ni zangu. Sie members wa JamiiForum hatutakagi ujinga
Ni kweli watu humu tunapiga mchele, kimya kimya bila kwere, tuna magari tele na majumba kama mbele...
 
  • Thanks
Reactions: Pep
kuna member kazi yao kuponda tu, Hawa member tunaweza waita (MBOWEE)
Kuna member sio wachangiaji utackia napita tu. sasa uliitwa?
 
Mkuu hiyo ya zamani iko wp?
Mods wanajua keyword za hizo mada mimi sio mtaalamu ila hiyo mada ya JF Members wanajua kila kitu sijui matajri,sijui wanakaa masaki,oysterbay ipo humu siku MINGI.
 
Unapo fake na kuacha kabisa uhalisia wa maisha yako,
Tambua kua umeamua kuwa Mtumwa wa maisha ya wengine,
Ila shida zako zipo pale pale.
 
Back
Top Bottom