Zijue tabia mbali mbali za wana JamiiForums

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
1: Kila member ana miliki private
2: Kuna mwenye umri mkuu anajiona ni Genius
3: Kila member amejenga au kapanga nyumba nzima
4: Kila member ni wa kimataifa hata kama kaishia hapo Namanga kwenye border ya Tanzania na
5: Humu utaitwa mkuu penda usipende!
6: Member anaweza akaanzisha mada kama anataka kuowa kesho yake akaanzisha nyingine kwamba anatafuta mume
7: Wengi wenye ID za kike ni wanaume sema wanataka ujichanganye utume pesa kwenye namba hii
8: Mada za kuchepuka ndio zinapewa kipaumbele kuliko jukwaa la biashara
9: Kuna member wanajiita great thinkers lakini vichwani weupe kama tongotongo lakini wao wamejiaminisha hivyo
10: Kuna member anaweza kuahidi kutoa ushirikiano fulani lakini ukienda PM hawajibu chochote lakini wapo 24hrs kwenye uzi wakulana kimasihara na hawajawahi kula wanakuja na ID mpya tofauti tofauti kuwanywesha watu chai
Zingine mtaongezea hapa
 
Back
Top Bottom