Santeeeeeeeeeeeee!Si wanasemaga mwanaume wa kweli hutumia dume? Hebu waulize na hao wenzio walikua wanamaanisha nini
Nyie ndio mnaosababisha watu wanaonekana hamnazo kwa kutembea na vipumflects... Kila akitaka kufanya kitu fulani anachungulia kwanza
Sasa usiende club na mwanamke umpendae uende na nani tena? I remember in those old days, nilikuwa nakereka na woman I completely loved only because hakuwa mtu wa kutoka! I felt so empty going somewhere (club) without her and I believe, even when I get married, hii culture kwangu itakuwa tamu zaidi when my wife nae akiwa mtu asiye na tatizo kutoka otherwise, nae atanikera.
Hahaha, mwanaume anatembea na kidesa.....dalili ya kuchanganyikiwa.
Sasa usiende club na mwanamke umpendae uende na nani tena? I remember in those old days, nilikuwa nakereka na woman I completely loved only because hakuwa mtu wa kutoka! I felt so empty going somewhere (club) without her and I believe, even when I get married, hii culture kwangu itakuwa tamu zaidi when my wife nae akiwa mtu asiye na tatizo kutoka otherwise, nae atanikera.
ulipoanzia ndipo hapo hapo na pameeleweka... ur wife hapendi kutoka lakini hakuzii kutoka~anyway, kwangu hakuwa wife bali girlfriend so may be hakuwa na ubavu wa kunizuia na nilikuwa natoka but I would feel completely empty coz' ningependelea kuwa na yeye wakati yeye si mtu wa hizo issue! Kwa issue za wife wako, it's okay... kwanza sie wengine tunavyosema kutoka wala hatuna maana lazima tukacheze muziki but just being away from home... that's it... kama ambavyo unapoamua kulipa kwenda cinema wakati u can download the same movie and watch it with your chogo tv! So, kwa issue ya shemeji etu hapo... i like it, si mtu wa kutoka but she can do it for you!Sijui nianzie wapi ila iko hivi mke wangu sio mtokaji kabisaa ila hanizuii tangu tukiwa chuo na ukimlazimisha ukatoka naye anakaa tu hata mziki hachezi, tukienda Ngwasuma by then yeye alicheza wimbo wa Anna tu baaas!!!
Ila ndiye mama haswa wa wanangu na am sure hawatokuja kunilaumu kuwachagulia mama huyu, leo nikimwambia "ntatoka baadae mke wangu". . . . .ntapigwa maswali weeee ila nguo ntanyooshewa kabisa na nitasimamiwa nile ndio nikazurure. . . . . . .
Kuna kipindi uhalisia unazidi desire na wishes. . . . . . Karibu klabuni kaka
Can I tell you something? In some cases you're right... first I used the neno club... ofcoz, kuna wakati haya mambo mtu unatakiwa kuwaachia watu wenye age yao lakini linapokuja suala la outings/kutoka as a whole, hata ninapokuwa na wife I'll love outing lakini sio zile za kibachela... hapa nazungumzia outing za kuwa away from home, eh bhana, at least once a month! Haiwezekani kila saa 2 hadi saa 5 ucku ya kila siku, throughout 365 days zote zinawakuta mkiwa ndani kwenu hadi masufuria yanatoboka upesi kwa kuyapikia kila siku!Mkuu kila jambo na wakati wake, nenda club sana na huyo mtu unayempenda lakini ukiingia kwenye ndoa kuna vitu inabidi uache na clubbing ni kitu kimojawapo kwa sababu hakitatoa picha nzuri kwa watoto wenu.
ulipoanzia ndipo hapo hapo na pameeleweka... ur wife hapendi kutoka lakini hakuzii kutoka~anyway, kwangu hakuwa wife bali girlfriend so may be hakuwa na ubavu wa kunizuia na nilikuwa natoka but I would feel completely empty coz' ningependelea kuwa na yeye wakati yeye si mtu wa hizo issue! Kwa issue za wife wako, it's okay... kwanza sie wengine tunavyosema kutoka wala hatuna maana lazima tukacheze muziki but just being away from home... that's it... kama ambavyo unapoamua kulipa kwenda cinema wakati u can download the same movie and watch it with your chogo tv! So, kwa issue ya shemeji etu hapo... i like it, si mtu wa kutoka but she can do it for you!