Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi

Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi

Nimecheka sana aiseeee...Basically nimeishi hivyo for 5 yrs, nilikua kila cku na hustle kupata new chich yani, nilikuwa cna aman na cm yangu maana naweza kuwa nachhat na wapenz zaid ya 6 at the same time,ucku nazima cm, atakayekuja ghetto bila taarifa ujue kanifumania, nilikua cpendi kupunguza orodha yao bali ni kuongeza whennever i get a chance, nilikua nadanganya mpah nasahau huyu nilimwambiaje na huyu aje, somedays waeza gegeda hata wa3 a day na wote lazma wakojozwe, furaha yangu kubwa ilikuwa ni kutawala stage na kumkojoza hata mara 3...Am glad sasa nimebadili mob number,nime block accounts zote kwenye social ntworks kasoro hii ambayo aijuayo, nina mchumba na nipo huru nae yani zaidi ya sana ila hajui background yangu, Namuomba Mungu nisirejee kule maana nimeumiza zaid ya wadada 60 kwa ujanja wa kipuuzi.....Nime2bu na ninaendelea kutubu..

Nimeyaishi maisha ya hvyo,nimewaumiza wengi...Nina familia sasa na hyo tabia bdo yaniandama,NASHINDWA KABISA KUIACHA!
 
kwa maana hiyo kama hufikishwi ndo unapendwa???awe nao tu kama ndo hivyo ila mimi nifike kibo na mawenzi
 
uko so far from the truth, a true player never put passwords. anajua what to do and when to do his things

U're right mkuu,hakuna haja ya password.....kuwawekea principle na nidhamu tu.Kila mmoja anakuwa treated vema kias kwamba hawezi kuhisi kudanganywa.....KAMA RATIBA ZA NDEGE VILE.
 
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii

Hold up! Hizo ni sifa ambazo wanawake wanapenda kwa wanaume. Unapowaambia kuwa ni sifa za mwenye wanawake wengi unataka waamini nini. Watafute
Mchafu?
Bubu?
Mhongaji sana?
Hajali kitu?
Hata ufanyaje hawezi kukukojoza?
Akikojoa mishe zote anasitisha na kubaki hapo?
Asiejua kubembeleza?
Hana ratiba hata kidogo. Kila ukimtaka unampata?

Sikiliza. Unaposema hizo ni sifa za mwenye wanawake wengi basi kinyume chake ni sifa za wenye mapenzi ya dhati.

Amin nawaambieni wanawake hamtojua mnachotaka mpaka mwisho wa maisha (baadhi) kuna wanawake wanajielewa na wana stick kwenye maisha yao. Wanaume Wangapi wana hizo sifa na wametulia?
 
hapa sijakusoma kitu, una maanisha akiwa na sifa mojawapo kati ya hizi au akiwa nazo zote? jibu lako lolote utakalonipa still you are totally wrong.

1. wanawake wote wanataka mwanaume mtanashati... nani ambae anataka mwanaume mchafumchafu?
2. hapo kwenye stori za uongo haina ushahidi kuwa lazima awe na wanawake wengi anaweza kuwa muongo tu naturally
3. sasa kuhonga nayo ni sifa? player anahonga na asiye player ana honga
4. kheeeee? sasa unataka mtu asimjali mama yake? u must be kiddin me
5. usipojituma utachapiwa utaishia kuimba wimbo wa rich mavoko
6. women are so complicated beings, ukiwa mtamu kimahaba wewe player hahahahahhahaha
7. hahahahhahahaaaa nimecheka tu
8. no comment
9. wanawake wanapenda kubembelezwa,
10. mwanaume kuchakalika, sio kukaa kaa tu tutakula mapenzi?

Well said!
 
zote zinanigusa..na kichwa cha habari ni kweli pia... anyway mama ndo kila kitu
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii
 
Sasa huyo akutane na mwanamke mwenye sifa za kuwa na wanaume wengi inakuwa lubudani ya kufa n'tu.

Sifa za mwanamke mwenye midume mingi:
1. Hajui kusema NO
2. Msafi kimwili
3. Kei yake Nyeusiiii
4. Mtaalam wa kunyoa vuzi
5. Hana aleji na uchafu, kila kitu kwenye mwili wa mwanaume yeyote anakitia

mdomoni na kukimeza. Bao likiingia hakawii kuinyonya storongo fasta ili iamke tena (bila kujali kaliwa K au 0713)
6. Haoni soo kuingia gesti..

Ha ha aaah! No 3 na 4
 
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.

1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii

3, 7 na 10! Nazikumbuka sana enzi hizo!
 
Ili uwe FAIR tutajie na sifa za mwanamke mwenye wanaume wengi
women I think we are smart, only stupid ones busted .wanawake. .tunajua kua ct innocent. .being defensive. .only smart players can get u red handed na kama mpo long distance ndo kabisa. .
 
NMB customercare;

"Ndugu mteja tumekuchoka sasa kila mara unaulzia salio tuu, Mshahara wako bado."Ukirudia tena akaunt itafungwa,subir hadi tar.10/5/2014

ahsante NMB
 
Back
Top Bottom