kubwa la maadui
1.Haogopi kukutambulisha..kwa mwewe wenzie wakuite shem,
2.akiwa mbali nawe,tone ya sauti yake huchange na kuwa serious.
3. Kwenye sms, anajimaliza majina y
ote ya mapenzi.
: Forekzampo:
''( Vipi mamy,uko poa mpenzi? Uko wapi bby wangu! Nimekumis Hny jman! Tuonane sangapi mylove. Nimekukumbuka sana sana swit! Huku kuna kaubaridi mylove!hmm natamani ungekuwa karibu laaziz wangu.. .. Mmmuaah mkewangu!"!
Lol yani jamani kuna matapeli 'Tanzania nambare wani'
3. Ahadi za kukuoa ni nyingi kuliko maelezo ya daktari.
4. Akikukosea ni mwepesi kuomba msamaha ad chozi,ila hadi umkamate na kosa jasho la meno litakuwa limetoka! Dah nyie wakaka,taratibu basi jameni,tuhurumieni!
4. Anapenda ngono uyooo wacha kabisa,yan ile ni physical exercise kwake!
5. Anakuwah kukupiga mizinga, yani i mijamaa inacheza na akili yako kama messi, anawahi kutangaza matatizo uyo ..umkope..teh teh
6. Macho juu juu kama kinyonga kutaka kujuana na kila rafiki ako wa kike! Kujifanya mtu wa watu kumbe kibaka mzoefu!!
7. Simu yake bussssy mda wote hasa usiku,ukimpata hewani tu utasikia nipo busy ntakushtua,kuna 'ishu flani namalizia' wazee wa ishu!
Sim zake zote zina password
1.Haogopi kukutambulisha..kwa mwewe wenzie wakuite shem,
2.akiwa mbali nawe,tone ya sauti yake huchange na kuwa serious.
3. Kwenye sms, anajimaliza majina yote ya mapenzi.
: Forekzampo:
''( Vipi mamy,uko poa mpenzi? Uko wapi bby wangu! Nimekumis Hny jman! Tuonane sangapi mylove. Nimekukumbuka sana sana swit! Huku kuna kaubaridi mylove!hmm natamani ungekuwa karibu laaziz wangu.. .. Mmmuaah mkewangu!"!
Lol yani jamani kuna matapeli 'Tanzania nambare wani'
3. Ahadi za kukuoa ni nyingi kuliko maelezo ya daktari.
4. Akikukosea ni mwepesi kuomba msamaha ad chozi,ila hadi umkamate na kosa jasho la meno litakuwa limetoka! Dah nyie wakaka,taratibu basi jameni,tuhurumieni!
4. Anapenda ngono uyooo wacha kabisa,yan ile ni physical exercise kwake!
5. Anakuwah kukupiga mizinga, yani i mijamaa inacheza na akili yako kama messi, anawahi kutangaza matatizo uyo ..umkope..teh teh
6. Macho juu juu kama kinyonga kutaka kujuana na kila rafiki ako wa kike! Kujifanya mtu wa watu kumbe kibaka mzoefu!!
7. Simu yake bussssy mda wote hasa usiku,ukimpata hewani tu utasikia nipo busy ntakushtua,kuna 'ishu flani namalizia' wazee wa ishu!
Yaani wewe huwa unahongwa sifuri sita? Yaani 000000? Hivi zero ikiwa moja au zikiwa mia kuna thamani yoyote ile? Au wewe ulisoma Hisabati na huku sie wengine tulisoma Hesabu?
Kumbe ndo maana wanawake wengi hupenda wanaume wenye wanawake wengi...maana unashanga mwanaume uko decent Mr Loverman na faithful...lakini wapi, 'mizigo' yote mizuri wanang'oa maPlayer tu, we unaambulia ma bi-dada desperate tu ambao yashachezeeewa na maPlayer!
Yani jamani sijuw mmeumbwajenyie watu...na ngoja tutawakomesha mwaga mboga nimwage ubwabwa!!! ur signature mkuu...ur signature..ndo kinawaponza!!mnauwa bendi...sasa kila kitu mbwai mbwai.... haya anzeni kujisema na nyinyi mkiwa na mabwana wengi mnakuwaje??
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.
1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii
Yani jamani sijuw mmeumbwajenyie watu...na ngoja tutawakomesha mwaga mboga nimwage ubwabwa!!! ur signature mkuu...ur signature..ndo kinawaponza!!
Zijue sifa za mwanamme mwenye wanawake wengi.
1. Mtanashati
2. Story nyingi za uongo
3. Hahongi ovyo
... 4. Anajali zaidi ya mama yake
5. Hujituma sana kitandani
6. Mtamu kimahaba
7. Mtundu wa kumkojoza mwanamke
8. Mwepesi wa kuaga baada ya kukojoa
9. Mwepesi wa kubembeleza
10. Ana ratiba nyingi kama saa,hatulii
mie sikusoma kabisa, ila pesa ya kuhongwa najua kuihesabu.