mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 9,909
- 13,288
Ndio hivyo naishi nao wengi ni majirani zangu.Duuuuuuuuh very true boss hongera kwa comment yenye content!!hicho ulichokiongea hakina utofauti kabisa na ex wngu yani ni matatizo yule mwanamke looh!!!
Wanafuatilia sana maisha ya watu ukioa jiandae kuwekewa limbwata ili akutawale,wakikuamulia kukufanyia uchawi na kukuwangia utatamani uikimbie nyumba yako.