Zijue Sababu Za Kuporomoka Kwa Nafasi Ya Tanzania Kwenye Global Crypto Adoption Index

Zulu Man Tz

Member
Sep 23, 2020
73
99
Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF 🙌🎄🥂,
Maana Ya Global Crypto Adoption Index.
Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za mtandaoni. Nchi zaidi ya 146 ulimwenguni zimekuwa surveyed na kupangwa kutoka ya kwanza mpaka ya mwisho.
Utafiti wa Mwaka 2021.
Mwaka 2021 Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ilishika nafasi ya 19 Duniani Kwenye Global Crypto Adoption Index. Matokeo hayo ni kwa sababu ya taarifa zifuatazo:-
  1. June 2021, Raisi wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan aliwaambia chombo Cha usimamiz wa fedha nchini humo Bank of Tanzania (B. O.T) wajiweke teyar kwa upembuzi wa kina wa sarafu hizo.
  2. June 2021, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba alifungua mjadala wa siku mbili kwa njia ya videos kuhusiana na Central Bank Digital Currency (CBDC) na Crypto Assets ambapo B.O.T na IMF walijoin as a part of commemoration of 20th Anniversary of Afritac East (AFE). Lengo la mjadala huo ni kuandaa misingi ya kuregulate au kudiscourage matumizi ya hizi assets.
  3. Vijana wa Kitanzania takribani Millioni moja wanajihusisha na sarafu mtandao na fursa zilizopo kwny Blockchain kama shughuli zao za kila siku kujipatia kipato.
  4. November 25 2021 Governor Florens Luoga alisema kwamba Bank kuu ya Tanzania imeanza maandalizi ya kuwa na CBDC yake kama ilivyo E-Naira from Nigeria.
Utafiti wa Mwaka 2022.
Utafiti uliochapishwa September 2022 by Chainalysis unonyesha kuwa Tanzania imeporomoka kutoka nafasi ya 19 mpaka nafasi ya 47 Ulimwenguni kwny Global Crypto Adoption Index. Zifuatazo ni sababu kwa mtazamo wang:-
  1. Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na mpango mkakati, Kasumba ya Nchi yetu shida ipo sana kwenye utekelezaji na hakuna uwazi kwa public jinsi gani hatua zinachukuliwa kufanikisha kuandaa regulatory framework ya Cryptocurrency.
  2. Scamms / kashfa za Kwenye Cryptocurrency kama vile FTX & Kalynda-e-commerce hii husababisha watu kutojihusisha kabisa na cryptos kwa kuhofia kutapeliwa.
  3. Uhaba wa elimu kwa Watanzania, elimu kuhusiana na Cryptocurrency haipatikan mashulen wala mavyuoni kufundishwa hivyo ufahamu kwa watu ni mdogo. Mfano Mnamo Tarehe 25 Februali 2018 Serikali ya Venezuela ilifungua shule katika mji mkuu wa nchi hiyo kwa ajili ya kufundisha raia wake kuhusiana na sarafu mtandao. Raisi Nicolas Maduro wa nchi hiyo aliidhinisha upelekwaji wa rasimali katika Vyuo vikuu vyote vya nchi ili kuwezesha uchimbaji wa sarafu mtandao (Mining).
  4. Bodi tofauti za nchi kukosa cross connectivity hivyo kukwamisha maendeleo. In fact ni kwamba Nchi ya Tanzania inashika nafasi ya pili Africa baada ya Nigeria Kwenye usimamizi wa Fedha na uhasibu kwa ujumla. Mwaka June 2019 Bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania (NBAA) ilichapisha katika kitabu chake cha Business And Corporate Finance (C3) ambacho ilitoa elimu kuhusiana na Fundomuunganiko na Sarafu mtandao katika ukurasa wa 271-286 wa kitabu hicho.
Hitimisho
Uhusiano ungekuwa mzuri(Cross-Connectivity) kati ya NBAA, B.O.T, Taasisi za Elimu za Serikali na Binafsi, Vyuo vya kati na Vyuo Vikuu pamoja na watunga sera za nchi kazi ingekuwa rahisi sana kuelimisha umma. Usipotaka kuitumia Teknolojia jua basi Teknolojia itakutumia wewe and vice versa.
 
Attachments

  • 106929948-1629311966425-20210818-mobile-fallback-F8TaF-the-chainalysis-2021-global-crypto-adop...png
    106929948-1629311966425-20210818-mobile-fallback-F8TaF-the-chainalysis-2021-global-crypto-adop...png
    34.5 KB · Views: 22
  • Screenshot_20221225-185216.png
    Screenshot_20221225-185216.png
    31.6 KB · Views: 21
  • Screenshot_20221225-185216.png
    Screenshot_20221225-185216.png
    31.6 KB · Views: 19
Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF ,
Maana Ya Global Crypto Adoption Index.
Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za mtandaoni. Nchi zaidi ya 146 ulimwenguni zimekuwa surveyed na kupangwa kutoka ya kwanza mpaka ya mwisho.
Utafiti wa Mwaka 2021.
Mwaka 2021 Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ilishika nafasi ya 19 Duniani Kwenye Global Crypto Adoption Index. Matokeo hayo ni kwa sababu ya taarifa zifuatazo:-
  1. June 2021, Raisi wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan aliwaambia chombo Cha usimamiz wa fedha nchini humo Bank of Tanzania (B. O.T) wajiweke teyar kwa upembuzi wa kina wa sarafu hizo.
  2. June 2021, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba alifungua mjadala wa siku mbili kwa njia ya videos kuhusiana na Central Bank Digital Currency (CBDC) na Crypto Assets ambapo B.O.T na IMF walijoin as a part of commemoration of 20th Anniversary of Afritac East (AFE). Lengo la mjadala huo ni kuandaa misingi ya kuregulate au kudiscourage matumizi ya hizi assets.
  3. Vijana wa Kitanzania takribani Millioni moja wanajihusisha na sarafu mtandao na fursa zilizopo kwny Blockchain kama shughuli zao za kila siku kujipatia kipato.
  4. November 25 2021 Governor Florens Luoga alisema kwamba Bank kuu ya Tanzania imeanza maandalizi ya kuwa na CBDC yake kama ilivyo E-Naira from Nigeria.
Utafiti wa Mwaka 2022.
Utafiti uliochapishwa September 2022 by Chainalysis unonyesha kuwa Tanzania imeporomoka kutoka nafasi ya 19 mpaka nafasi ya 47 Ulimwenguni kwny Global Crypto Adoption Index. Zifuatazo ni sababu kwa mtazamo wang:-
  1. Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na mpango mkakati, Kasumba ya Nchi yetu shida ipo sana kwenye utekelezaji na hakuna uwazi kwa public jinsi gani hatua zinachukuliwa kufanikisha kuandaa regulatory framework ya Cryptocurrency.
  2. Scamms / kashfa za Kwenye Cryptocurrency kama vile FTX & Kalynda-e-commerce hii husababisha watu kutojihusisha kabisa na cryptos kwa kuhofia kutapeliwa.
  3. Uhaba wa elimu kwa Watanzania, elimu kuhusiana na Cryptocurrency haipatikan mashulen wala mavyuoni kufundishwa hivyo ufahamu kwa watu ni mdogo. Mfano Mnamo Tarehe 25 Februali 2018 Serikali ya Venezuela ilifungua shule katika mji mkuu wa nchi hiyo kwa ajili ya kufundisha raia wake kuhusiana na sarafu mtandao. Raisi Nicolas Maduro wa nchi hiyo aliidhinisha upelekwaji wa rasimali katika Vyuo vikuu vyote vya nchi ili kuwezesha uchimbaji wa sarafu mtandao (Mining).
  4. Bodi tofauti za nchi kukosa cross connectivity hivyo kukwamisha maendeleo. In fact ni kwamba Nchi ya Tanzania inashika nafasi ya pili Africa baada ya Nigeria Kwenye usimamizi wa Fedha na uhasibu kwa ujumla. Mwaka June 2019 Bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania (NBAA) ilichapisha katika kitabu chake cha Business And Corporate Finance (C3) ambacho ilitoa elimu kuhusiana na Fundomuunganiko na Sarafu mtandao katika ukurasa wa 271-286 wa kitabu hicho.
Hitimisho
Uhusiano ungekuwa mzuri(Cross-Connectivity) kati ya NBAA, B.O.T, Taasisi za Elimu za Serikali na Binafsi, Vyuo vya kati na Vyuo Vikuu pamoja na watunga sera za nchi kazi ingekuwa rahisi sana kuelimisha umma. Usipotaka kuitumia Teknolojia jua basi Teknolojia itakutumia wewe and vice versa.
Itachukua miaka
 
Daah kwenye hii kitu kuna watu wamekuwa mamilionea na wengine mabilionea bila kugombana na mtu wala kuvuja jasho jingi kwa muda mfupi.

Kuna watu walinunua coins zikapanda kwa kasi ya upepo na wao wakavuna chao kiasi kikubwa huku wengine wakiogopa kutoa mpunga wao wote ili wafanye vitu vikubwa kwa kuhofia mkono wa dola.
 
Ndio ivyo mkuu gavoo imebann Crypto teyar ila hii Teknolojia usipoendana nayo na kutmia itaktkmia ww japo it's take a long period kuwa adopted🤔
 
Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF 🙌🎄🥂,
Maana Ya Global Crypto Adoption Index.
Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za mtandaoni. Nchi zaidi ya 146 ulimwenguni zimekuwa surveyed na kupangwa kutoka ya kwanza mpaka ya mwisho.
Utafiti wa Mwaka 2021.
Mwaka 2021 Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania ilishika nafasi ya 19 Duniani Kwenye Global Crypto Adoption Index. Matokeo hayo ni kwa sababu ya taarifa zifuatazo:-
  1. June 2021, Raisi wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan aliwaambia chombo Cha usimamiz wa fedha nchini humo Bank of Tanzania (B. O.T) wajiweke teyar kwa upembuzi wa kina wa sarafu hizo.
  2. June 2021, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba alifungua mjadala wa siku mbili kwa njia ya videos kuhusiana na Central Bank Digital Currency (CBDC) na Crypto Assets ambapo B.O.T na IMF walijoin as a part of commemoration of 20th Anniversary of Afritac East (AFE). Lengo la mjadala huo ni kuandaa misingi ya kuregulate au kudiscourage matumizi ya hizi assets.
  3. Vijana wa Kitanzania takribani Millioni moja wanajihusisha na sarafu mtandao na fursa zilizopo kwny Blockchain kama shughuli zao za kila siku kujipatia kipato.
  4. November 25 2021 Governor Florens Luoga alisema kwamba Bank kuu ya Tanzania imeanza maandalizi ya kuwa na CBDC yake kama ilivyo E-Naira from Nigeria.
Utafiti wa Mwaka 2022.
Utafiti uliochapishwa September 2022 by Chainalysis unonyesha kuwa Tanzania imeporomoka kutoka nafasi ya 19 mpaka nafasi ya 47 Ulimwenguni kwny Global Crypto Adoption Index. Zifuatazo ni sababu kwa mtazamo wang:-
  1. Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na mpango mkakati, Kasumba ya Nchi yetu shida ipo sana kwenye utekelezaji na hakuna uwazi kwa public jinsi gani hatua zinachukuliwa kufanikisha kuandaa regulatory framework ya Cryptocurrency.
  2. Scamms / kashfa za Kwenye Cryptocurrency kama vile FTX & Kalynda-e-commerce hii husababisha watu kutojihusisha kabisa na cryptos kwa kuhofia kutapeliwa.
  3. Uhaba wa elimu kwa Watanzania, elimu kuhusiana na Cryptocurrency haipatikan mashulen wala mavyuoni kufundishwa hivyo ufahamu kwa watu ni mdogo. Mfano Mnamo Tarehe 25 Februali 2018 Serikali ya Venezuela ilifungua shule katika mji mkuu wa nchi hiyo kwa ajili ya kufundisha raia wake kuhusiana na sarafu mtandao. Raisi Nicolas Maduro wa nchi hiyo aliidhinisha upelekwaji wa rasimali katika Vyuo vikuu vyote vya nchi ili kuwezesha uchimbaji wa sarafu mtandao (Mining).
  4. Bodi tofauti za nchi kukosa cross connectivity hivyo kukwamisha maendeleo. In fact ni kwamba Nchi ya Tanzania inashika nafasi ya pili Africa baada ya Nigeria Kwenye usimamizi wa Fedha na uhasibu kwa ujumla. Mwaka June 2019 Bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania (NBAA) ilichapisha katika kitabu chake cha Business And Corporate Finance (C3) ambacho ilitoa elimu kuhusiana na Fundomuunganiko na Sarafu mtandao katika ukurasa wa 271-286 wa kitabu hicho.
Hitimisho
Uhusiano ungekuwa mzuri(Cross-Connectivity) kati ya NBAA, B.O.T, Taasisi za Elimu za Serikali na Binafsi, Vyuo vya kati na Vyuo Vikuu pamoja na watunga sera za nchi kazi ingekuwa rahisi sana kuelimisha umma. Usipotaka kuitumia Teknolojia jua basi Teknolojia itakutumia wewe and vice versa.
Tz bado sana
 
Sarafu mtandao bado changamoto kwa Tanzania itafika muda itabidi iwe..

Usipotaka kuitumia Teknolojia basi Teknolojia itakutumia (muda utajieleza)
 
VISA & MASTERCARD za Tz hiziko supported kwenye crypto exchanges nyingi kama sio zote
 
Ndio ivyo mkuu gavoo imebann Crypto teyar ila hii Teknolojia usipoendana nayo na kutmia itaktkmia ww japo it's take a long period kuwa adopted🤔
Lakini crypto ni kama maji usipoyanywa utayaoga. Dunia imeshabadilika hivyo upende au usipende crypto haiepukiki ni suala la muda.
Changamoto ya hii kwa sehemu kubwa sio centralized hivyo haiwezekani kui-control kwa 100%.
 
Kuna nyingine inaitwa IMOTA inatoa airdrop inaitwa*OTARA* sio ya kuikosa hiyo ni genuine kabisa.

Attention to ALL IMOTA minners

All of you mining OTARA Token.
Do this Now:

1/- OPEN App go and do this to recieve your $5 BUSD

2/- Click on the "MENU" bar down below the bottom of the App.

3/- Click on the "Apply" code section, input this code: 4rsO7arb to get your '$5 BUSD

referral bonus: 4rsO7arb

Code:

4rsO7arb
Download the Imota app at imota.io and enter my referral code: 4rsO7arb to get up to $5 for free
IMG-20230930-WA0008(1).jpg
 
Back
Top Bottom