Zijue sababu za first born wako au jirani yako kuwa wa kike!

Dropout

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
548
500
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
Ukistick kwenye iman na kusema ni mpango wa Mungu utaepusha assumption nyingi sana..Mm naona hujawaza vzur umetaka kujifunza
Screenshot_20190620-231643_WhatsApp~2.jpeg
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,133
2,000
Mmmh!!!

Hii nadhari huwa naiamini pia...

Ukiacha hilo pia mimba nyingi zisizotarajiwa mara nyingi hutoa watoto wa kike...
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
 
carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,085
2,000
Mmmh!!!

Hii nadhari huwa naiamini pia...

Ukiacha hilo pia mimba nyingi zisizotarajiwa mara nyingi hutoa watoto wa kike...
Nimekuwa interested baada ya kuona hii reply yako mkuu.

Hapo kwa nadharia hiyo kicheche anakuwa mwanamke au mwanaume? Maana jukumu la kutoa mtoto wa kiume navyojua liko kwa mwanaume. Kuhusu mimba zisizotarajiwa naunga mkono hoja.
 
MAWAZO UJENZI

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
2,427
2,000
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
Kafanye tena Research yako.... Hakuna uhusiano wowote hapo....

Brother wangu alikua kicheche balaa,kabla ya ndoa na hadi leo bado kicheche ila watoto wake 5,hana mtoto wa kike hata mmoja...

Jiran yangu hapa,ni Mzee mmoja mtaratibu sana na mpole sana,mkewe wake pia ni mpole sana na mstarabu sana,ila wana watoto wakike 4....
 
Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
327
225
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
Kwa hiyo unataka kusema first born wa kike ni malipo ya kicheche siyo..! Na kuwa na first born wa kike ni dhambi au unataka kusemaje japo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom