Zijue sababu za first born wako au jirani yako kuwa wa kike!

Ila ninavyojua mimi kwa elimu ndogo ni kuwa Zinaa inakuwa na malipo,kama ulizini watoto wa wenzio basi nawewe tegemea watoto wako kuziniwa kama si sasaivi basi hata wajukuu zako watajailipia iyo zinaa uliyoifanya
 
Kafanye tena Research yako.... Hakuna uhusiano wowote hapo....

Brother wangu alikua kicheche balaa,kabla ya ndoa na hadi leo bado kicheche ila watoto wake 5,hana mtoto wa kike hata mmoja...

Jiran yangu hapa,ni Mzee mmoja mtaratibu sana na mpole sana,mkewe wake pia ni mpole sana na mstarabu sana,ila wana watoto wakike 4....
Iyo dhambi ya uzinaa atakuja kuilipa tu,kama sio yeye basi katika kizazi chake nao watakuja kuziniwa tu,Zinaa ni kama kitenesi vile kama uliwaheshimu mabinti wa watu basi nawe watakuja kuheshimika kama wewe ulivyowaheshimu
 
Nani kakudanganya, mimi nilikuwa kicheche lakini mtoto wa kwanza na 2 wakiume. Tunacheza na hesabu dogo usizani ni kutia mimba tu
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
 
Hii siyo kweli me nna ushaidi
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
 
tupe ushahid mkuu!
Nimewahi kuwa na single mama mmoja baadae nikagundua katombesha washkaji zangu kadhaa na baadhi masela wengine mtaani

Watu wote wa karibu yangu walikuwa wamenisii niachane nae
Lakini mzee nikawa naona kama ni makelele tu wananionea wivu tu
Kwa sababu huyo mtu mwenyewe Irene uwoya anangoja kidogo
Afu show inayopatikana humo siyo ya nchi hii Bob
Hata uambiwe anauza unaona dah
Nyie mnacheza

Nimekuja kugundua yule Malaya madreva wote wa mabasi anajuana nao kisenge mixer madreva wa malori yani hata ukitaka kukalia siti bure unaenda mkoa yeye anatoa speech tu huyo kaka huyo checheeee
Mkoa free hi
Huyo mjomba huyo checheee chuma mkoa free off charge
Who are kwenye mabasi mama

Nimeachana nae
Nilivyoachana mama mdogo wake kaniambia alimtombesha ba mdogo wake nikachoka zaidi
Sijaonana nae 2yrs now
Juzi nimeona kapost mwanae mpya wa kiume ana angalau mwaka sasa
Kwenye hiyo post anamshukuru mungu kumkuzia mwanae
1st born wake ni msela na huyu pia ni msela

Sasa wewe unatuambia nini hapa kwenye story yako Bob

Sema Leo ni Friday soreni volume sijui zinasoma ngapi hapa saivi
 
Uongo mtupu ---

Sasa mbona zari /Irene uwoya. Mange kimambi etc ".. Watoto zao wa kwanza ni wanaume ''.... hauna logic
Hahahaha, Mkuu Mange wa kwanza sio wa kike ,Bhoke ?

Ila km ni mume au mke alikua kicheche, hapo kwa Zari unamuangalia Dai au Zari mwenyewe ? mtoto wao kwanza ni nani sio Tiffah kweli ?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom