bush crazy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 757
- 1,020
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
Ukistick kwenye iman na kusema ni mpango wa Mungu utaepusha assumption nyingi sana..Mm naona hujawaza vzur umetaka kujifunzaEndapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
Dunia inakimbia sana!kumbe vicheche wanageuka kuwa watu??
just research!Akichanganya kwa mapacha?
This only happens when you create assumptions on your own perspective
How sure you are?Ukistick kwenye iman na kusema ni mpango wa Mungu utaepusha assumption nyingi sana..Mm naona hujawaza vzur umetaka kujifunzaView attachment 1133055
Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
kunywa supu mkuu nakuja kulipia! we tupo pamoja!Mmmh!!!
Hii nadhari huwa naiamini pia...
Ukiacha hilo pia mimba nyingi zisizotarajiwa mara nyingi hutoa watoto wa kike...
Wengi wawanaonibishia nadhan yamewakuta!
Nimekuwa interested baada ya kuona hii reply yako mkuu.Mmmh!!!
Hii nadhari huwa naiamini pia...
Ukiacha hilo pia mimba nyingi zisizotarajiwa mara nyingi hutoa watoto wa kike...
How sure you are?
Kafanye tena Research yako.... Hakuna uhusiano wowote hapo....Endapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!
na bado mpka sasa mods hawajauondoa?Uzi wa hovyooooo
Kwa hiyo unataka kusema first born wa kike ni malipo ya kicheche siyo..! Na kuwa na first born wa kike ni dhambi au unataka kusemaje japoEndapo mzazi mmoja wapo alikuwa kicheche kabla ya kuoa au kuolewa au kupata mtoto ifahamike kwamba uwezekano wa kupata mtoto wa kike ni 95%. kama huamini chunguza alafu npe mrejesho!