Zijue pete zenye utajiri wa ajabu

so lengo la mada yako nini ikiwa huwezi kueleza kila kitu? je ni kwamba watu wanaotaka kujua zaidi waku pm ili uwaunganishe? achana na ndoto za alinecha , hakuna njia ya short cute kwenye maisha , jipange , bana matuzi, fanya kazi kwa bidii, jitahidi kuogeza kipato kila itwapo leo but not kwa upuuuzi huu wa pete.
nakupongeza kwa majibu yako murua
 
Sijaeleewa mantiki ya hii thread. Hakuna ajuaye mambo ya freemason isipokua mwanamasonia aliepo ndani
Hata hizo mambo.ya kafara sjui watu tu mnaongea lakin hamjui chochote na mlijuaje kuna kafara au ndo magazeti pendwa ya udaku
 
Kama pete ni bahati PESA unapewa ya nini...!!? Ungepewa pete ukalale uamke ukute "BULUNGUTU" mlangoni kwako....
 
Sijaeleewa mantiki ya hii thread. Hakuna ajuaye mambo ya freemason isipokua mwanamasonia aliepo ndani
Hata hizo mambo.ya kafara sjui watu tu mnaongea lakin hamjui chochote na mlijuaje kuna kafara au ndo magazeti pendwa ya udaku
Try to study some books to boost your knowledge
 
mkuu hapo kwenye Tsh. 100,000,000 Umesahau kusema kuhusu ile sadaka unayotakiwa kuitoa kwao; sadaka ya ndugu yako unaempenda sana.
Hapa bora kufa maskini ndebesi kuliko kumuua ndugu yangu ninayempenda sana, MUNGU aniepushe na dhambi hii kubwa sana.
 
Back
Top Bottom