Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,930
- 3,982
mkuu uliyajulia wapi haya mambo hebu kuwa wazi.
Hakuna umuhimu wa kupost kisha unasema "kitu fulani huwezi kutaja" baki na hadithi zako za abunuwazi.![]()
Tukiachana na hayo leo ningependa kukugusia kidogo kuhusu PETE zenye maajabu makubwa chini ya jua. Kwanza nikuhabarishe tu kuwa pete za Freemason zipo aina kumi na tatu (13) na pete zote hizo zina tofautiana uwezo wa kufanya maajabu. Unapoojiunga tu na freemason baada ya maelekezo kidogo unaapishwa na kupewa pete No, 01 ambayo inafamika kwajina ambalo siruhusiwi kulitaja hapa, pete hii inavaliwa baada ya kula kiapo maalumu cha kulinda na kuhifadhi siri zote za Freemason hadi mwisho wa uhai wako.
Kwa kawaida unapovalishwa pete hii na kula kiapo unatunukiwa cheo cha degree ya kwanza katika maisha yako ndani ya chama na degree hiyo inaendana na zawadi ya kiasi kisichopungua shilingi million mia moja ( Tsh.100,000,000) fedha hizo unapewa kwaajili ya kuanza biashara au kuendeleza biashara zako na unaweza kupewa zaidi kulingana na uongozi utakavyoona. Yapo masharti mbali mabali utakayopewa ambayo siwezi kuyaandika hapa lakini niseme tu yanatekelezeka kama una nia ya dhati.
![]()
Nadhani kwa leo niishie hapa kwenye hii pete ya kwanza siku nyingne nitakuja kuwaelezea ni jinsi gani pete ya pili inavyopatikana na kiasi cha pesa anachopewa mwanachama aliyetimiza masharti ya kuweza kuimiliki pete ya
Mimi hiyo Million 100 tu.mkuu uliyajulia wapi haya mambo hebu kuwa wazi.
Labda n mwanachamamkuu uliyajulia wapi haya mambo hebu kuwa wazi.
Nawezaje kujiung mkuu maana nawatafta awa muda mrefu![]()
Tukiachana na hayo leo ningependa kukugusia kidogo kuhusu PETE zenye maajabu makubwa chini ya jua. Kwanza nikuhabarishe tu kuwa pete za Freemason zipo aina kumi na tatu (13) na pete zote hizo zina tofautiana uwezo wa kufanya maajabu. Unapoojiunga tu na freemason baada ya maelekezo kidogo unaapishwa na kupewa pete No, 01 ambayo inafamika kwajina ambalo siruhusiwi kulitaja hapa, pete hii inavaliwa baada ya kula kiapo maalumu cha kulinda na kuhifadhi siri zote za Freemason hadi mwisho wa uhai wako.
Kwa kawaida unapovalishwa pete hii na kula kiapo unatunukiwa cheo cha degree ya kwanza katika maisha yako ndani ya chama na degree hiyo inaendana na zawadi ya kiasi kisichopungua shilingi million mia moja ( Tsh.100,000,000) fedha hizo unapewa kwaajili ya kuanza biashara au kuendeleza biashara zako na unaweza kupewa zaidi kulingana na uongozi utakavyoona. Yapo masharti mbali mabali utakayopewa ambayo siwezi kuyaandika hapa lakini niseme tu yanatekelezeka kama una nia ya dhati.
![]()
Nadhani kwa leo niishie hapa kwenye hii pete ya kwanza siku nyingne nitakuja kuwaelezea ni jinsi gani pete ya pili inavyopatikana na kiasi cha pesa anachopewa mwanachama aliyetimiza masharti ya kuweza kuimiliki pete ya
We haturuhusiwi kutoa siri. ...