Zijue nguzo za mapenzi

Zijue nguzo za mapenzi

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
407
Reaction score
75
1.Kuaminiana
2.KuwaWakweli
3.Kuvumiliana
4.Kupendana...

Wanajf tukifuata mambo hayo kamwe mapenzi baina yetu hayatoisha...
 
++
Hivi Pesa ni mlango au nguzo ya mapenzi?
++
 
Now dayz tofauti sana na zamani kwanza ijue PESA mapenzi utapeta sana alafu mtu akijua unatimiza hayo yoote anajiona hakuna zaidi kama yeye pia wewe kama umekufa umeoza hupindui mi siafiki na mtoa mada ni heri yasingekuwepo haya mambo maana upande wa pili ni unyama usio na kifani
 
Siamini kama kuna nguzo za mapenzi.
Ni kama sarakasi tuu ukitulia miguu sawa, ukitulia makalio sawa tuu ukitulia mikono twende tuu.
 
Inabidi mapenzi ya siku hizi na pesa ingizwe kwnye formular...la sivyo kuna kaukweli tutakua tunakakimbia..
 
Kuheshimiana
Kusikilizana

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom