Sema kama nenga
Member
- May 8, 2025
- 24
- 114
Nchi inayoongaza kuwa na maafisa ubashiri wengi afrika ni
1. South afrika - 83% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi.
2. Kenya - 79% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi.
3. Tanzania - 74% ya maafisa ubashiri wanapeleka moto.
4. Nigeria - 73% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi.
5. Uganda - 72% ya maafisa ubashiri wanaweka majamvi.
Wanaume 68% na wanaweka 32%
Maafisa ubashiri wenye umri Kati ya 25-34 ni 50%, 18-24 ni 30% na juu ya miaka 35 ni 20%.
Survey conducted by Geopoll in April 2025.