Tz maisha tunafanana. tofauti ni kwamba wengine ni mafisadi na sisi ni wachumia tumbo tu.Osterbay tu sjui masaki wanakaa mashuwa wanavyodai kuko ovyo kimiundombinu
Ova
View attachment 2816483View attachment 2816484View attachment 2816485
Bara bara zao nzuri ni CBD sio nje ya Mji huko maana zilijengwa miaka yao ya neema hata Bulawayo CBD ipo vizuri mpangilio wa mji upo vizuri shida hazipo kwa kiwango kizuri...Zimbabwe maeneo mengi barabara zao ni za hovyo. Labda angalau kidogo ukiwa Harare.
Ila mnaikosea sana kuiweka Namibia juu ya SA aisee...SA wana bara bara aisee na wanafanya ukarabati mara kwa mara hasa kwa hizi National Road...R 24 ina Lane 5 kwenda na kurudi hivyo hivyo pana N1 ,N2 ,N 3 na N4 hayo madaraja ndio kabisaa sasa sijui hiyo R 24 unaweza kuifananisha na bara bara gani pale Namibia...Ndomaana na mimi nimemwambia kuwa hili ni swala la kutengeneza ambalo mtu yoyote anaweza kulitengeneza kwa masilahi yake.
Amenambia mimi nabisha bila kuleta vyanzo vyangu. Nikamletea hivi hapa, kakimbilia kubisha 😂😂😂
Sasa vya kwangu anabisha, ila vya kwake tusibishe 🤣🤣🤣
SwadaktaRRONDO na Mshana Jr, Extrovert Bujibuji Simba Nyamaume mambo yenu haya, wazee wa kukaa nyuma ya usukani long rangers
No mkuu! Lengo langu sio kumaanisha kuwa Namibia iko juu ya South Africa, bali lengo langu lilikuwa ni kumuonesha kuwa hivyo vyanzo alivyovileta hapa vinatengenezwa na mtu yoyote, na anaweza kuiweka nchi yoyote namba 1 au 2.Ila mnaikosea sana kuiweka Namibia juu ya SA aisee...SA wana bara bara aisee na wanafanya ukarabati mara kwa mara hasa kwa hizi National Road...R 24 ina Lane 5 kwenda na kurudi hivyo hivyo pana N1 ,N2 ,N 3 na N4 hayo madaraja ndio kabisaa sasa sijui hiyo R 24 unaweza kuifananisha na bara bara gani pale Namibia...
Kutoa Airport ya Oliver Tambo na kuingia pale kama sio mtata unaweza kutokea departure wakati unatakiwa uende kupokea au ukaendelea na Borgsburg wakati lengo lako sio huko...No mkuu! Lengo langu sio kumaanisha kuwa Namibia iko juu ya South Africa, bali lengo langu lilikuwa ni kumuonesha kuwa hivyo vyanzo alivyovileta hapa vinatengenezwa na mtu yoyote, na anaweza kuiweka nchi yoyote namba 1 au 2.
Wakati mtoa mada alipoona nimepingana nae, akashangaa eti kwa nini nimepinga bila kuweka vyanzo vyangu ambavyo viko tofauti na vya kwake. Ndo na mimi kumuonesha kwamba hizo habari alizoleta huwa zinavyanzo tofauti tofauti vinavyotengenezwa na watu binafsi, nikamletea na mimi hiyo ili aone kwamba mwaka huu kuna mtu kasema South ni ya kwanza na Tz yetu haipo kwenye 10 bora, alaf kuna mungine huyo wa kwangu kasema Namibia ni ya kwanza pia Tz yetu ipo katika 10 bora.
Ukweli ni kwamba South Africa itabaki kuwa nchi yenye barabara bora Africa nzima na pia inaweza kushika nafasi ya 3 hadi 5 kwa nchi za Ulaya, hilo linafahamika vizuri mkuu.
Hapa ni sehemu fulani inaitwa Birch Leigh kama Km 7 hivi ufike Kempton park centre, na kama Km 10 hivi ufike OR Tambo international airport.Kutoa Airport ya Oliver Tambo na kuingia pale kama sio mtata unaweza kutokea departure wakati unatakiwa uende kupokea au ukaendelea na Borgsburg wakati lengo lako sio huko...
Wabishieni IMFNo mkuu! Lengo langu sio kumaanisha kuwa Namibia iko juu ya South Africa, bali lengo langu lilikuwa ni kumuonesha kuwa hivyo vyanzo alivyovileta hapa vinatengenezwa na mtu yoyote, na anaweza kuiweka nchi yoyote namba 1 au 2.
Wakati mtoa mada alipoona nimepingana nae, akashangaa eti kwa nini nimepinga bila kuweka vyanzo vyangu ambavyo viko tofauti na vya kwake. Ndo na mimi kumuonesha kwamba hizo habari alizoleta huwa zinavyanzo tofauti tofauti vinavyotengenezwa na watu binafsi, nikamletea na mimi hiyo ili aone kwamba mwaka huu kuna mtu kasema South ni ya kwanza na Tz yetu haipo kwenye 10 bora, alaf kuna mungine huyo wa kwangu kasema Namibia ni ya kwanza pia Tz yetu ipo katika 10 bora.
Ukweli ni kwamba South Africa itabaki kuwa nchi yenye barabara bora Africa nzima na pia inaweza kushika nafasi ya 3 hadi 5 kwa nchi za Ulaya, hilo linafahamika vizuri mkuu.
Kawabishie IMFZimbabwe maeneo mengi barabara zao ni za hovyo. Labda angalau kidogo ukiwa Harare.
Licha ya Zimbabwe kuyumba kiuchumi miaka ya karibuni sababu ya wapumbavu kama kina Mugabe ila haijawahi kuwa maskini kama Tanzania.Zimbabwe maeneo mengi barabara zao ni za hovyo. Labda angalau kidogo ukiwa Harare.
Km ngapi za lami ya kupuliza zimebomoka na zinahitaji kuwekewa viraka??Miundombinu ipi ikiwa Miaka yake 5 hakuna Barabara zozote za maana alijenga? Chini ya km 3,000 miaka 5
Acha kukariri,hakuna awamu Tanzania inajenga barabara nyingi kama Sasa hivi ,zaidi ya km 4,500 ziko under construction.
Sasa unadhani by 2030 tutakuwa tumejenga sio chini ya km 7,000 hii itakuwa ni rekodi ya Samia hakuna Rais amewahi kuifikia.
SGR inaanza kufanya kazi lini?Tuko mbali kwenye vitu vingi sana ,hata hizi Barabara ni Kwa vile tuu Nchi yetu ni kubwa na pia Waasisi Wetu walianza vibaya Kwa kuelekeza rasilimali kwenye Mataifa Jirani eti wanatafuta uhuru ndio maana tumechelewa kidogo.
Lakini na uhakika by 2030 tutakuwa top 10 hapo.
Matumizi ya Serikali ya mavietee, safari, mishahara mikubwa na vyeo vingi yakipunguzwa hata kwa nusu ni pesa nyingi sana.Acha mzaha,njia 8? Njia 4 zenyewe Mtihani ndio ije kuwa 8 lanes? Kwa Uchumi upi hasa? Sema tu upgrade standards za ujenzi
Tanzania ina uhitaji wa Km ngapi za lami??Toa upumbavu wako hapa.Amekuwwpo Toka zama za Mkapa na ndio katuingiza Cha kike Jangwani na Flaivova la kisengerema.
Mbaya zaidi miaka yake 5 ya Urais amejenga chini ya km 2500 za lami ,Mikoa aliyoikuta haijaunganishwa na Lami na Jakaya ameondoka Iko hivyo hivyo.
Sasa Kwa taarifa Yako,Barabara zinazojengwa Sasa na Samia ni zaidi ya km 4,500 za lami na Hadi kufikia 2030 Samia kama atakuwa Rais ndio atakuwa Rais wa kwanza kujenga Barabara nyingi Tanzania.
Zitafikka km 7,000 ndani ya miaka 10.
HakikaNjia nne inawezekana kabisa tukipunguza ufisadi.
Mara zote Huwa nasema nyie chadomo ni mbumbumbu tuu.Hata ulisema Serikali iacha kununua magari,spea na mafuta Bajeti yake Kwa mwaka ni bil.550.Matumizi ya Serikali ya mavietee, safari, mishahara mikubwa na vyeo vingi yakipunguzwa hata kwa nusu ni pesa nyingi sana.
Hatujapiga hatua yoyote ya maana, nchi za Afrika zenye miundombinu bora ya barabara ni zile zilizopo upande wa Kusini mwa bara hili la Afrika, ukianza na Afrika ya Kusini pamoja na zile zilizopo upande wa Kaskazini na Magharibi mwa Afrika kama vile Misri, Moroco, Tunisia na Nigeria kwa kiasi fulani.Tuko mbali kwenye vitu vingi sana ,hata hizi Barabara ni Kwa vile tuu Nchi yetu ni kubwa na pia Waasisi Wetu walianza vibaya Kwa kuelekeza rasilimali kwenye Mataifa Jirani eti wanatafuta uhuru ndio maana tumechelewa kidogo.
Lakini na uhakika by 2030 tutakuwa top 10 hapo.