Zijue Nchi 10 zenye Barabara Bora Afrika. Afrika Mashariki hakuna nchi hata moja!

Mwinyi Sina rekodi yake na ni nadra sana kuzungumziwa Kwa sababu ya mda lakini alijenga mojawapo ni Barabara ya Makambako-Njombe -Songea imejengwa enzi ya Mwinyi miaka ya 80s huko.

Ila wote hao Samia atawafunika Kwa sababu ame double Bajeti ya ujenzi kuanzia TanRoads na Tarura
Makambako njombe ilij3ngwa kwenye
Ubora mkubwa wale walikuwa kajima
Kama sijakosea
Aliyejenga pia irina Road kutokea dodoma naye alicheza sana maana kote huko zamani tulikuwa tunapita vumbi tu ila sahv huko watu wanapeta
Na miji imekuwa thamani imepqnda
Malecela aliwachelewesha sana huko

Ova
 
Zim nlipita miaka ya wazungu bado wapo ilikuwa si mcheZo barabara zao
Hivi ile sheria ukifika zim na gari uliyonunua south africa ukifika zim
Lazima uipakie kwenye kwenye gari mpaka boda zambia bado wanayo
Isanga family

Ova
Yap bado wanayo na imepelekea Wazimbabwe sasa hivi magari yao wanapitisha kupitia Daslm harafu Tunduma mpaka Harare wengine wanapitia Songwe huku Kyela maana SA wanasema gari zipo juu harafu usalama wakifata Durban ni mdogo sana...ila wengi tunapita Botswana,Zambia maana Zimbabwe Nchi imechoka bara bara mbovu harafu rushwa wanata dollar au rand kila check point rushwa ni kama sheria kwa Zimbabwe na wakiamua utapigwa faini yeyote tuu...
 
Usinikumbushe enzi za 504 zile,toyota raider ,BMW dolphin
Zim wakati ule super milk inatamba huko ukileta bongo mambo mswano
Miaka ya nyuma zim walikuwa na barabara nzuri sana lkn,sahv wShafeli

Bongo akikaza anaweza wapiku wote ujue

Bongo ashakaza sana Zimbabwe huwezi kufananisha Road na Tanzania kwa sasa hivi wengi wanapita Bulawayo badala ya Harare kwa sababu ya bara bara mbovu na hawafanyi ukarabati hao Zambia ndio kabisaa wanatengeneza bara bara kipande kidogo tuu muda watakaochukua ni mrefu imepelekea ukiwa na gari ndogo unapita Lusaka unakuja kuitafuta Malawi unatokea Songwe border hapo...
 
Attachments

  • Screenshot_20231117-204700.png
    Screenshot_20231117-204700.png
    72.9 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231117-204603.png
    Screenshot_20231117-204603.png
    46.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231117-204719.png
    Screenshot_20231117-204719.png
    34.2 KB · Views: 1
Chirundu bara bara ni mbovu mno mpaka unasubiri gari ipite ndio ukate hizo kona zake harafu hapa wamekuja na tafiti ya kutengeneza...
Ndomaana na mimi nimemwambia kuwa hili ni swala la kutengeneza ambalo mtu yoyote anaweza kulitengeneza kwa masilahi yake.

Amenambia mimi nabisha bila kuleta vyanzo vyangu. Nikamletea hivi hapa, kakimbilia kubisha 😂😂😂

Sasa vya kwangu anabisha, ila vya kwake tusibishe 🤣🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20231117-204603.png
    Screenshot_20231117-204603.png
    46.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20231117-204719.png
    Screenshot_20231117-204719.png
    34.2 KB · Views: 1
Back
Top Bottom