Zijue Most Powerfull Intelligence Agencies duniani

TISS si ndio wang'oa meno wenye mali wanapolalamika? na kuwasindikiza wakubwa kukwapua na kuficha pesa Uswisi.........
 
Very interesting,bt ii ya kwetu apa n kulinda viongoz wa ccm tu,wat a shame na majengo yao mazur lakin hakuna ktu tena kama wale wanjiita P S U,ndo wapuuz kuliko wngne wote katika TISS


naomba unijuze hao PSU ndio nini hasa?
 
Kuna Video kibao youtube waweza angalia pia
 
Mossad inaongoza CIA, waisrael walianza upelelezi kwa kuipeleleza nchi ya kanaan ndiyo maana hadi leo wanaongoza kwa upelelezi japo si taifa teule tena la Mungu kwa sasa.
 
Someone who can tell me about FBI

FBI inahusika na upelelezi wa ndani ya amerika

Hiyo list hapo juu ni ya vyombo vya ujasusi

Ujasusi na upelelezi ni vitu viwili tofauti. Ujasusi ni uchunguzi kabla ya tukio while upelelezi ni uchunguzi baada ya tukio
 

MOSSAD umewaacha wapi? Hao CIA wanaitegemea Mossad na Mossad ipo ndani ya CIA.
 

Asante for info!
 
Sasa hii tiss ya kwetu mbona inaonekana imekaa kichama zaidi au kwa ajili ya viongozi fulani fulani hivi,kuliko kujishughulisha na maslahi ya taifa la tanzania ndani ya nchi au popote yalipo duniani.
 
Very nice analysis, israel nawaaminia sana hawa watu, ka nchi kadogo lakini ni noma sana.
 
Sasa hii tiss ya kwetu mbona inaonekana imekaa kichama zaidi au kwa ajili ya viongozi fulani fulani hivi,kuliko kujishughulisha na maslahi ya taifa la tanzania ndani ya nchi au popote yalipo duniani.

tiss ipo kama hiyo ya china shehe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…