Zijue level kuu nne za mwanaume kuwa boya

Zijue level kuu nne za mwanaume kuwa boya

toriyama

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
1,566
Reaction score
3,233
LEVEL ZA MWANAUME KUWA BOYA NI NNE (4) TU.

1. Kama umetembelewa na mwanamke ile amengia chumbani kwako tu mmekaa muda mara akakwambia funga mlango alafu akawasha sabufa kwa sauti ya juu na wewe ukakaa kama zezeta unashangaa ka uko feri, huo ni uboya na una msingi mzuri wa uboya

2. Kama upo na mwanamke getto mnacheki movie alafu anakwambia yupo bored hainjoi hiyo movie unamwambia uweke nyingine anakataa unamuuliza anataka nin anakutizama machoni anatabasamu kidogo wew huelewi ufanyeje unaenda kutafuta CD ya movie ya Rambo jua wewe ni boya level ya secondary yaani hapo ni A ya uboya unasubili kwenda chuo

3. Upo na mwanamke getto mmechili mnapigishana story za hapa na pale mara anakwambia kuna kitu anakitamani kwa siku hiyo wewe huelewi hata tone ndio kwanza unakazana kumuonesha picha zako za shule ya msingi yeye anakwambia anataka kuondoa unaendelea kumuonesha

Sijui picha kwenye gallery yako na yeye kila mara akakwambia anataka kuondoa na wewe hujiongezi hujui anamaanisha nin.... basi jua wew ni boya mim nakutunuku certificate ya uboya

4. Kama upo na mwanamke getto kwako kwenye sofa mnapiga story na kucheki series ya Vampire Daries, akakwambia uitoe uweke CD yoyote ile ambayo ni romantic ukamwekea mkaangalia akawa anainjoi sana ghafla akatoka kwenye sofa na kujitupa kitandan alafu akakwambia mlale huku mkipiga story wew ukaenda na kuanza kumsimulia hadithi za sungura na fisi mara elfu lela uliwe basi umeshafaulu mtihani wa uboya na umepewa degree yake


Hizo ndo sifa za wanaume maboya‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
 
LEVEL ZA MWANAUME KUWA BOYA NI NNE (4) TU.

1. Kama umetembelewa na mschana ile amengia chumbani kwako tu mmekaa muda mara akakwambia funga mlango alafu akawasha sabufa kwa sauti ya juu na wewe ukakaa kama zezeta unashangaa ka uko feri, huo ni uboya na una msingi mzuri wa uboya

2. Kama upo na mschana getto mnacheki movie alafu anakwambia yupo bored hainjoi hiyo movie unamwambia uweke nyingine anakataa unamuuliza anataka nin anakutizama machoni anatabasamu kidogo wew huelewi ufanyeje unaenda kutafuta CD ya movie ya Rambo jua wewe ni boya level ya secondary yaani hapo ni A ya uboya unasubili kwenda chuo

3. Upo na mschana getto mmechili mnapigishana story za hapa na pale mara anakwambia kuna kitu anakitamani kwa siku hiyo wewe huelewi hata tone ndio kwanza unakazana kumuonesha picha zako za shule ya msingi yeye anakwambia anataka kuondoa unaendelea kumuonesha

Sijui picha kwenye gallery yako na yeye kila mara akakwambia anataka kuondoa na wewe hujiongezi hujui anamaanisha nin.... basi jua wew ni boya mim nakutunuku certificate ya uboya

4. Kama upo na mschana getto kwako kwenye sofa mnapiga story na kucheki series ya Vampire Daries, akakwambia uitoe uweke CD yoyote ile ambayo ni romantic ukamwekea mkaangalia akawa anainjoi sana ghafla akatoka kwenye sofa na kujitupa kitandan alafu akakwambia mlale huku mkipiga story wew ukaenda na kuanza kumsimulia hadithi za sungura na fisi mara elfu lela uliwe basi umeshafaulu mtihani wa uboya na umepewa degree yake


Hizo ndo sifa za wanaume maboya‍♂‍♂‍♂‍♂‍♂
Hii post ni kwa ajili ya wavulana tu. Si wanaume wanaojielewa.
 
Back
Top Bottom