cadey
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 1,455
- 4,410
Basi karibu uanze kutumiaha ha ha ha sina la kuuliza zaidi
Basi karibu uanze kutumiaha ha ha ha sina la kuuliza zaidi
Mkuu unao unga wa mlonge? Bei gani? Na je unatumikaje? Mimi nahitaji kwa matumizi ya kawaida ya familia yangu, kama wasemavyo prevention is better than cure
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu upo,Nna uhitaji MNOOOO!
Our Moringa leaf powder is hygienically prepared and packed.Nna uhitaji MNOOOO!
Mkuu unao unga wa mlonge? Bei gani? Na je unatumikaje? Mimi nahitaji kwa matumizi ya kawaida ya familia yangu, kama wasemavyo prevention is better than cure
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii comment imenifanya nitabasam. Good MorningUnawekaje tangazo kwenye tangazo langu
Mimi nimebwinu mbwinu yangu labda ntapata wateja nae anakuja wakati anaweza kuanzisha thread yake na kutangaza
Nyingi wote WA Moja Biashara at workAsante sana na nimegundua hilo nainywa ndipo nakula basi hali shwari
Sent using Jamii Forums mobile app
JamaniNyingi wote WA Moja Biashara at work
Ndiyo biashara au unataka nianze kuomba ombaJamani biashara hizo
Sawa mkuu nambie naipataje fanya kuniemail nipate no yako na beiOur Moringa leaf powder is hygienically prepared and packed.
?Jamani
Mkuu ni pm kama vipi nipate huduma ya mlongeView attachment 1046159Sema kama unataka
Inaitwaje kwa kisukuma? Niko huku ila nadhan wenyeji wangu hawataijua milonge hadi kwa lugha mamaKiongoz umenena vizul bila kupindisha ata kidgo mimi nipo kanda ya ziwa shy asee hii mimea ni mingi hapana mfano ndio maana watu wa ukanda huu wako vizul sana kweny engo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
YCopy&paste
hapana mkuu mimi sijatangaza biashara ila nimesema kwa anayetaka so inawezekana nataka kutenda wema nitoe bure...... IKIWEZEKANA LAKINI 😃Afu wewe una tabia mbaya mimi na tangaza biashara na wewe unakuja humu humu,kafungue uzi wako utangaze