Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

Sasa mkuu hapa ninapokaa kuna milonge mingi sana na imetoa mbegu zake na zimekomaa sana embu nielekeze ili niwe natengeneza mwenyewe iyo dawa maana maumivu ninayoyapata ni makali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuma Majani yake asubuhi yake ya kijana tuu yalikomaa yaoshe acha yajichuje maji kisha anika ndani yasipate mwanga wajua baada ya siku tatu nne yatakuwa yamekauka yatwangwe chekecha utapata unga hifadhi kwenye kopo funga vizuri kisha anza kutumia kijiko kimoja cha chakula kutwa mara mbili kwenye maji ya vuguvugu sio ya moto haitafanya kazi
23EC32DB-C4E5-4AE1-9FE0-4104451E2D6D.jpeg
79E2269A-D660-4090-8135-FAC707C1B02F.jpeg
57BE7D5F-11B4-4634-9153-F930062CAE03.jpeg
3ABE299A-A6C9-418F-A384-66A4BB9FE432.jpeg
FF0CF215-4591-49FD-A0D7-B7F05AD99362.jpeg
 
Watakula miti ya sumu hlafu wafe, shauri zao. Milonge mienyewe kuna species kibao.
Ndiyo ,ata mimi niliwahi kufananisha uwo mti Majani ni kama ya mlonge lakin bahati ulikuwa na maua mekundu ndo nikaushtukia
 
kuna siku niliambiwa kuwa mlonge ni dawa ya Malaria sasa nikachemsha mizizi yake nikanywa baada ya kupona kama wiki hivi baadae nikapata mechi aiseee nilipiga show ya heavy weight mpaka mnyakyusa wa watu alipiga kilele kuwa Papuchi inawaka moto.

Baada ya mwezi nikaja kuambiwa ile kitu inatibu mpaka nguvu za kiume, toka nilikunywa napiga show za kibabe
kila mtu na tafsiri yake ktk haya mabo za tiba ila me najikubali binafsi..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom